Ukiona una dalili hizi ujue wewe ni fukara na masikini

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,236
DALILI ZA WAZI ZA UFUKARA NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO

Kwenye maisha unapoanza kufanikiwa kuna vitu huwa vinaonekana wazi kwamba maisha yako yamebadiliks hata kama wewe binafsi utaendelea kujifanya masikini.

Vivyo hivyo katika umasikini pia huwa kuna dalili za wazi kwamba mambo hayapo vizuri kitu ambacho huwa kama taarifa kwa ajili ya kukuchochea kuongeza juhudi au kubadili mtindo wa maisha kwa sababu umasikini huathiri vitu vingi kwenye maisha.

Ili kuweza kujua kwamba hatua uliyopo sio nzuri zifuatazo ni baadhi ya dalili za ufukara ambazo zisiposhughulikiwa mapema husababisha mtu kuwa masikini mpaka mauti.

1. KIPATO KIDOGO

Kukosa chakula cha kutosha, malazi na mavazi ya uhakika, pia kuwa na uhakika wa kupata huduma za afya pindi linapotokea tatizo, ni dalili kuwa kiwango cha mapato yako hakijitoshelezi.

2. KUISHI KWA MADENI

Moja ya mtego mbaya kwenye maisha ya kimasikini ni maisha ya kukopa kwa ajili ya mahitaji kama vile kula, kulipa kodi, magonjwa au nauli kitu ambacho hupelekea madeni yazidj kuongezeka badala ya kupungua hii huwa ni ishara kwamba maisha yako yanataka juhudi kubwa ili yabadilike au kubadili vyanzo vya mapato.

3. KUISHI BILA YA KUWA NA AKIBA

Maisha ya kuishi kama mnyama kiasi kwamba ukikumbwa na tatizo la ghafla (kama ugonjwa au ajali ndogo) unaanza kuhaha na kuacha tatizo loendelee kuwa kubwa kwa sababu ya kutokuwa na akiba yoyote, ni dalili ya wazi kuwa hali yako ya kifedha sio nzuri..

4. KUKOSA DIRA

Kuishi kwa kujikimu kila siku bila kuwa na mpango wa kesho (mustakabali), ni dalili ya wazi kwamba unapaswa kufikiria upya kwa ama kuongeza juhudi au kutafuta njia nzuri zaidi za kutengeneza kipato cha uhakika.

5. KUZIDIWA NA TEGEMEZI

Kuwa katika hatua ambayo unapaswa kusaidia zaidi na kutegemewa lakini uwezo wako hautoshi japo nia unayo ni dalili nyingine kwamba unaishi maisha magumu na unapaswa kufanya mabadiliko.

6. KUPISHANA NA FURSA

Ukiwa mtu ambaye mara kwa mara unakutana na fursa mbalimbali kama vile za kielimu, kibiashara, au za kijamii na unashindwa kuzitumia kwa sababu ya hali duni ya kifedha hiyo ni ishara kwamba upo katika hali mbaya.

7. KUPOTEZA HESHIMA

Kuishi maisha ya kujitenga, kukosa sauti na nguvu katika ushiriki wa shughuli muhimu za kijamii au hata kuipata ile heshima stahiki unayostahili kwa sababu ya ama umri au elimu kwa sababu ya kipato duni ni taarifa kwamba unapaswa kuongeza juhudi ili ubadilishe maisha yako.

8. KUJISIKIA KUKATA TAMAA

Hali ya umaskini huwa inaathiri afya ya akili na kumfanya mtu Kukosa matumaini au kuwa na huzuni ya mara kwa mara kitu ambacho kinaweza kuisha kwa kuwa na pesa na uhakika wa maisha.

9. KUWA MTU WA CHUKI, HASIRA NA LAWAMA

Moja ya hatua mbaya katika umasikini ni kuwa mtu ambaye kwenye kila jema linalofanywa na watu wengine lazima utafute kasoro na kutoa maoni ya chuki au kuwachukia watu kwa sababu ya kukupita kiuchumi au kuwa juu yako kimamlaka na kuwa mtu wa hasira hata katika vitu vidogo na mlalamishi wa mara kwa mara.

10. KUENDEKEZA UJINGA

Dalili nyingine ambayo inawagharimu watu wengi na kuwafanya waendelee kudumu kwenye umasikini ni kudharau taarifa, maarifa, elimu, na kuendekeza ujinga.

Ujinga unawafanya watu wengi wajikite katika mambo ambayo yanawapotezea muda zaidi kuliko kuwaingizia faida na kuwaongezea kipato.

HITIMISHO

Dalili ainishwa sio laana kwamba haziwezi kutenguliwa ila ni kama ishara za taarifa na tahadhari na kama unazipitia wewe unazipitia kama mimi haimaanishi kwamba tayari umefeli bali ni wito wa kukuamsha ili uongeze juhudi, ubadili mbinu za utafutaji, na kutafuta maarifa au fursa mpya ili uweze kubadili maisha yako.

KARIBUNI
MIMI NI MCHORAJI WA RAMANI ZA NYUMBA UKIHITAJI UTANICHEKI
0743257669
 
Maisha ni zaidi ya ulivyoandika hakuna anayeependa hiyo hali
Huyo anaongelea zaidi ya 90% ya watanzania, anadhani kuna mtu anapenda hali aliyonayo. Na mara nyingi topic kama hizi huanzishwa na malimbukeni waliojipata kidogo, kanunua gari lake la CC 1290 na kuanza ujenzi Chanika etc, basi anaona kashapatia maisha na kukimbilia JF kujaribu kuonyesha walionyuma yake ni wazembe maishani. Huwezi kukuta mtoto wa Lowassa, Mo, Kikwete na wengine wengi waliozaliwa kwenye neema haswa wanaanzisha topic za namna hii - NEVER, kwasababu wanaelewa maana halisi ya maisha wamefundishwa tangu wakiwa wadogo. Ila malimbukeni ndo wanajifanyaga kutoa maelekezo kuhusu mafanikio wakati in reality bado wanajitafuta tu. Nina uhakika aliyeleta thread ana uwezo wa kawaida sana. Ila kutokana na waliomzunguka kuwa chini yake kavimba kichwa na kuhisi wengine ni wazembe kwenye kutafuta ela.
 
1746825956099.png
 
Umeharibu
 
mkuu stabilityman huyu anafit wapi? namba 8, 9, 10 au zote?
 
NB: ufukara mkubwa kuliko yote:- KUMKOSA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO.
 
Back
Top Bottom