green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,308
- 35,852
Kweli kabisa sifanani na mke wangu njoo unipe papa niitafune mamaKuna mume wa mtu hafanani na mkewe ngoja nikaze kamba huwenda mimi ndo tunafanana
Kweli kabisa sifanani na mke wangu njoo unipe papa niitafune mamaKuna mume wa mtu hafanani na mkewe ngoja nikaze kamba huwenda mimi ndo tunafanana
Kuna point kubwa sana hapo
Jr
Hii sio kweli, tatizo liko hivi unapokuwa na mke mkawa mnatofautiana kufikiri na kuamua lazima mnagombana,Mm nachojua baada ndoa watu huanza hufanana tabia kama mmoja wenu mchoyo,
Wote mtakua wachoyo,roho mbaya, ubinafsi yani utapata tabia za mwenzio zote,kila kitu sometimes hufanana kweli
Mawazo yako mkuu m lazima niyaheshimuHii sio kweli, tatizo liko hivi unapokuwa na mke mkawa mnatofautiana kufikiri na kuamua lazima mnagombana,
Mfano wamekuja wageni friji imejaa vinywaji, mke anawaangalia tu wageni unafanyaje? Mara moja Mara mbili? Baadaye unajikuta unamsaidia kuhudumia wageni, wageni wakitoka mnagombana, Siku nyingi wageni wakija hachukui hatua na wewe hutaki ugomvi, hata kama hupendi unapuuzia mwisho inakuwa Tabia.
Ukijua Tabia ya mwenzio na ukapambana nayo anabadilika.
ha ha ha mkuu hujafanana na mwenzako?Utafiti wa hovyo huu kabisa
Wa namna hiyo huwa ni bahati sana kukutanaKuna mama mmoja wa kisukumuma Mwanza ni mweupe sana,na mume wake ni mzungu na wamezeeka kwa sasa yani hua wanatembea mke yuko mbele mume nyuma,aisee wanafanana kama goroli,wanaweza kupark gari mahala wakaanza kutembea kwa miguu utadhani ni mapacha
Oa kabisa huyo ndio wa kwakoNiki
Nikitembea na manzi wangu wanasema et tumefanana sana inanikera kunifananisha na mwanamke
Kweli mkuu,wengi huwa tunalazimisha kuishi na ambao si wakwetu na kuvumiliana katika maisha,ndio maana migogoro ya hapa na pale inakuwepo; sababu sio mfanano wetu.Yes,Hata maandiko yana sema "atakufanyia msaidizi wa kufanana naye".Sema ukiforce kwa mtu amabaye hamjafanana ujue mahusiano hayatafika mbali.mitafaruku itaanza na mtaishia kujuta tuu mbaka kifo kiwatemgamishe kama ni wavumilivu