Ukiona sura yako haina mfanano na mke/mume wako jua hapo hakuna mapenzi ya dhati, bali mnaishi kwa kulazimishana tu

Mm nachojua baada ndoa watu huanza hufanana tabia kama mmoja wenu mchoyo,
Wote mtakua wachoyo,roho mbaya, ubinafsi yani utapata tabia za mwenzio zote,kila kitu sometimes hufanana kweli
Hii sio kweli, tatizo liko hivi unapokuwa na mke mkawa mnatofautiana kufikiri na kuamua lazima mnagombana,
Mfano wamekuja wageni friji imejaa vinywaji, mke anawaangalia tu wageni unafanyaje? Mara moja Mara mbili? Baadaye unajikuta unamsaidia kuhudumia wageni, wageni wakitoka mnagombana, Siku nyingi wageni wakija hachukui hatua na wewe hutaki ugomvi, hata kama hupendi unapuuzia mwisho inakuwa Tabia.
Ukijua Tabia ya mwenzio na ukapambana nayo anabadilika.
 
Ni vyema ungejaribu kudadavua nafsi kuendana kwenye ndoa kunaletaje sura kufanana.hivi sura zikifanana ya mke ndo inaenda kwa Mme au kinyume chake
 
Hii sio kweli, tatizo liko hivi unapokuwa na mke mkawa mnatofautiana kufikiri na kuamua lazima mnagombana,
Mfano wamekuja wageni friji imejaa vinywaji, mke anawaangalia tu wageni unafanyaje? Mara moja Mara mbili? Baadaye unajikuta unamsaidia kuhudumia wageni, wageni wakitoka mnagombana, Siku nyingi wageni wakija hachukui hatua na wewe hutaki ugomvi, hata kama hupendi unapuuzia mwisho inakuwa Tabia.
Ukijua Tabia ya mwenzio na ukapambana nayo anabadilika.
Mawazo yako mkuu m lazima niyaheshimu
 
Kuna mama mmoja wa kisukumuma Mwanza ni mweupe sana,na mume wake ni mzungu na wamezeeka kwa sasa yani hua wanatembea mke yuko mbele mume nyuma,aisee wanafanana kama goroli,wanaweza kupark gari mahala wakaanza kutembea kwa miguu utadhani ni mapacha
Wa namna hiyo huwa ni bahati sana kukutana
 
Yes,Hata maandiko yana sema "atakufanyia msaidizi wa kufanana naye".Sema ukiforce kwa mtu amabaye hamjafanana ujue mahusiano hayatafika mbali.mitafaruku itaanza na mtaishia kujuta tuu mbaka kifo kiwatemgamishe kama ni wavumilivu
Kweli mkuu,wengi huwa tunalazimisha kuishi na ambao si wakwetu na kuvumiliana katika maisha,ndio maana migogoro ya hapa na pale inakuwepo; sababu sio mfanano wetu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom