UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE ๐ฉ
Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha.
Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri ๐
1. Hana tabia ya kukubali makosa
Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)โฆ hana โsamahaniโ ya kweli.
2. Anatafuta attention kwa wanaume wengine
Akikosa validation, anahangaikaโฆ huyu hataridhika kirahisi.
3. Ana historia ya mahusiano mengi yaliyoshindikana
Sio bahati mbayaโฆ ni pattern. ukijitia mjuaji utakasikia
4. Hana heshima kwa wanaume
Leo anawadharau wengine, kesho ni zamu yako.
5. Ana mood swings za kupindukia
Leo anakupenda, kesho anakuchukiaโฆ ndoa itakuwa vita ya hisia.
6. Hana self-control
Anaishi kwa tamaa na hisia, sio akili.
7. Hana mwelekeo wa maisha
Hajui anataka niniโฆ na wewe utapotea naye.
8. Maisha yake ni drama kila siku
Kila mtu ana tatizo nayeโฆ utakuwa next.
9. Anatumia mapenzi kama silaha
Anakupa au anakunyima ili akudhibiti. Atakuendesha
10. Hana misingi ya maadili
Anafuata utandawazi, sio principles.
Kama hakuheshimuโฆ hata kama anakupenda, ONDOKA.
Upendo unaweza kukuingiza kwenye ndoaโฆ
Lakini tabia ndio itaamua kama utaishi kwa amani au mateso.
Chagua kwa akili, sio hisia.
โ๏ธAbuuabdillah