Ukiona picha hizi zinakukumbusha nini

Siku hizi hata watoto hawaufurahii utoto wao

sisi hata soccer wachezaji tulikuwa tunawajulia huku, hapo unakuta una first11 inawachezaji wote japo wengine unawasikia hata kuwaona ujawahi, Saa moja tu ushachoka unasinzia ovy unasubiri Kula ukalale.
Vitoto vya siku hizi vinasubiri ELCLASICO LIVE MATCH hata kama ni SAA SITA USIKU. Hizi kitu wanafanyia kwenye VIDEO/COMPUTER Games, NO THINKING
 
Umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka nimefanya mtihani wa kidato cha nne huku usiku nikisoma kwa kutumia kibatari. Asubuhi nikipenga kamasi, ni masizi tupu. Pamoja na adha hiyo, Mungu alinisaidia nikafaulu.
safi sana. Wengi wanajisahaurisha na kudharau historia zao.
REMEMBER YOUR ROOTS. hii ni miongoni mwa siri ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…