Ukiona mwanamke anakupiga sana mizinga...

Ukiona mwanamke anakupiga sana mizinga...

Hahaaa, pigeni kazi bana ndiyo jukumu mlilopewa na Muumba, siye tunatumiaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,so vizinga vingi nataka ujitume zaidi yaani ujue kabisa hapa bila pesa huyu mke,girlfriend nampoteza[emoji3] [emoji3]
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sawa jiandae na bebi
 
Do not bite off more than you can chew.Kama una pochi ndogo usitafute majukumu usiyoyaweza.Kupigwa mizinga is part of the game.
Kama pesa yako ndogo ukimfungia panzi anaruka kwa sababu ya uzito mdogo basi tafuta saizi yako.Huwezi na hairuhusiwi kumpenda mtu bila kumgharamia.Unapaka gari rangi ya bei mbaya na vikorokoro kibao itakuwa unayempenda.
 
Ukiwa huna pesa lazma ulalamike..man yoyote anaekua na mimi basi pesa atatoa kwa hiari yake bila kuombwa..yaa nimekaa zangu sina hili wala lile pesa inaingia..ndo watu nadetigi nao..wanaitwa wanaume wa nguvu akipita sehem au shop sio mbka umwambie niletee chochote yeye anajua nn anatakiwa kufanya si anakupenda!..ogopa sana mwanaume asietoa hela mbka umuombe ujue kuna shida mahali kwako au kwake.

Na si mnajua wanaume wote wanajua kumtreat mwanamke kama malikia..kama kwako mambo ni tofauti ujue sio chaguo lake.
 
When it gets tough,the tough keep going.Usipende kama huwezi kugharamia.Ukiona it does not fit your budget leave it .Huwa siingii kwenye uhusiano ambao siwezi kuugharamia
 
Hujalazimishwa kutoa pesa. Kama ni kutoa toa. Kama ni kuacha acha.

By the way unaombwa kama hutoi. Kama unatoa huwezi kuombwa ombwa.

Kumbuka. Mkeo anayohaki ya kukuomba hela. Hao kunguni wengine sio lazima. Ila kwa mkeo ni lazima.

Hakuna raha kama kuombwa na Mkeo pesa. Wanawake walioolewa wanajua utamu wa kumuomba mume pesa.
 
[emoji736][emoji736][emoji736]
 
Kuna watu wanajua kuomba aisee hata ukiwa na pesa kama mo utakelekwa tu wao hawana text wala simu ya salamu ni shida tu ya pesa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mungu anawaona wanawake๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Back
Top Bottom