Ukiona mwanamke anaikataa ndoa jua yamemfika hapa!

Pole sana
 
Huyu ndugu yangu Sidhani kama akili zitamrudia nikiweka Maisha yake hapa unaweza kustaajabu mimi ninacho mpongeza ana uvumilivu wa ajabu sana maana licha ya Mwaume kuwa mgumu kutoa pesa ya matunzo pia ni mpigaji.
Hiyo story ya ndugu yako haipishani sana na ya huyo ndugu yangu; ambaye aliendelea kuvumilia hadi watoto waliposema basi. Bila watoto kuingilia; hadi leo angeendelea kuwa kwenye mateso. I think kunakuwa na emotional dependence pia ndo maana wao kutoka inakuwa ngumu. Na ile kusave face kwa jamii isikuone kuwa umeachika basi ni mwanamke mpumbavu.
 
Wewe punguani kweli wewe unazungumziaje dada zangu wasiokuepo? Haya mpeleke mamako mzazi naye ajaribu uone raha ili mfaidi vizuri

Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu!! Sasa umepanic nini kuambiwa umpeleke Dadaako nae aenjoy kwa huyo jamaa? Unajua fika km huyo mwanaume hafai ila tu ushabiki na upumbavu unakusumbua! Km unampenda sn huyo dume suruali mwenzio basi mpe Dadaako aenjoy
 

Tulia kama unanyilewa acha tumpiganie kamanda apate haki yake
 

Trauma Bond ndo inawafanya wengi washindwe kutoka kwenye mahusiano ya mateso
 
Kosa kubwa Sana hili mom
 
Mwanamke akichoka huwa hashikiki, pole Sana umefanya uamuzi sahihi.
Kuna watu wanaowa ili wao wasiwe na majukum ya familia hasa hawa wanaume wanaotaka wanawake wafanyakazi.
 
Wanaume Wana kazi.... Sio mchezo.....🤣🤣🤣
 
Dah...pole sana....ila mwanaume si Mjinga....Lazima kuna SABABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…