Ukiona mwanamke anaikataa ndoa jua yamemfika hapa!

Hukuwahi kupendwa toka mwanzo sema wewe hukushtuka tuu. Kama alikupenda basi ni for children bearing tuu.

Kingine, historia ya jinsi mlivoonana na huyo jamaa hadi kuoana hujatupatia, na najua itakuwa ina matongotongo mengi sana. Tupatie picha kamili ili tujue kama kweli huyo mumeo ana kosa ama wewe ndio mwenye matatizo.

Cc Unforgetable
 
Sisi wanaume tunafahamu wanawake kama wewe mpo na sio wife material mnakua na gubu na mnamatatizo sana
Vipi baharia? itakuwa hii story inakuhusu kwa namna au nyingine au ndiyo mhusika mwenyewe nini? Mpende sana mkeo, penda watoto na pia hudumia familia. Hata kama mke ana gubu hiyo siyo sababu ya kusema haudumii familia. Hao ni watoto wako pia. Mimi hata kama mke wangu akinikataa siyo sababu ya kutohudumia familia.
 
Pole sana. Sisi wanaume wakati mwingine sijui tunafikiria nini. Ndiyo maana tunaitwa MBWA
Yes ni MBWA kabisa yaani, Management By Walking Around. One sided story zimekuwa kitanzi na hukumu kwa wanaune, haya yana tokea kwa pande zote mbili kwa msingi wa Nani zaidi, na beef kama hizi. Tumtegemee Mungu na tuji shushe ili familia zetu ziweze kustawi, mke karudi kwao kuendelea na vibarua vyake akiwa na mtoto mmoja mpaka wana fikisha watatu hapo kati hakukua na vikwazo? Je, mume anao uwezo wa kukaa na kulialia hadharani au anakufa na tai shingoni? Alimpenda mke ndio maana alimuoa ila ana teseka kimya kimya, wamama kuweni na huruma leeni watoto wenu ili wawe Bora hapo baadae, miaka kumi na nne si haba endeleeni kuupanda mlima mteremko bado, haya mwenye masikio na asikie.
 
Stori umeandika lakini kuna maswali mengi na yanahitaji majibu

1. Mlipokuwa mbali (mikoa tofauti) tuna uhakika gani ulikuwa huchepuki?
2. Kwa maelezo yako inaonekana Mwanaume amechoka na tabia zako ambazo si rahisi ww kuziona. Maana kitendo cha Mwanaume kuacha Laki inamaana amekadiria ni siku za kumtunza mtoto huku ww akikuweka kando.

3. Inaonekana kabisa na ww unacheet na Mumeo amegundua ila Mwanaume hajawahi kukwambia na ndio maana yy yupo hivyo

4. Nyie wanawake mna matatizo sana na nyie ndio mnapelekea Wanaume kupata msongo wa mawazo na hata kupata Strokes. Wanawake kila mkiambiwa mfanye hiki nyie mnaenda kinyume. Na tabia ya kujibizana na Mwanaume pale anapoongea wanawake huwa mnayo sana hasa mkiolewa. Wanaume kuepuka hayo huwa wanarudi usiku hata akiwahi kutoka kazini lazima atafute sehemu ya kupoteza muda ili aingie nyumbani usiku. Kila mwanaume atakachoongea lazima mwanamke aseme ulikuwa kwa mahawara zako
 
Pole! Binadamu wengine huishi kwa kufuata mkumbo, ila si kwa dhati ya moyo wao. Anaona katika jamii kila mtu anaoa, basi na yeye lazima aoe, ila majukumu na nidhamu ya ndoa hamna.
 
umesema anawapenda watoto wake?umesema mna watoto wazuri?

nabashiri huyo mwanaume umempendea muonekano,wanaume wazuri hawajui kuhudumiA na nyie sura ngumu hamtutaki kabisaaaa siku hizi.

ondoa sex mwanamke hana cha kuoffer kwenye mahusiano,ondoa majukumu mwanaume hana cha kuoffer kwenye mahusiano....hard facts

mahusiano kwa mwanaume ni km investment sasa ukiona mwanaume hafanyi majukumu yake ujue biashara hailipi hard facts.Do not turn back,know ur worth.
 
Hukuwahi kupendwa toka mwanzo sema wewe hukushtuka tuu. Kama alikupenda basi ni for children bearing tuu.

Kingine, historia ya jinsi mlivoonana na huyo jamaa hadi kuoana hujatupatia, na najua itakuwa ina matongotongo mengi sana. Tupatie picha kamili ili tujue kama kweli huyo mumeo ana kosa ama wewe ndio mwenye matatizo.

Cc Unforgetable

Mkuu Kingsmann umeamua kunichana dada yako LIVE dah
Kweli mwishoni wakati nafanya maamuzi ya kuachana na mimi niliona sikupendwa kwa kweli.... Mwanaume tena mume wa ndoa hawezi kuwa anakupenda halafu mahitaji ya familia yake unaenda kuombaomba asikokujua na wala haoni shida....
Historia kuna mtu kauliza nimemjibu tayari
 
silas maswe huyu arudi kwa kamanda waendelee na maisha akisikiliza haya wanayoandika hawa watu jukwaani hayamsaidii na wengi hawana ndoa humu
 
Wanaume wengine ni hatar.Mbona me sipo hivo?
Una muda gani katika ndoa, watoto?
Kama u mtu mzima, hakuna la kushangaa, labda ndio kwanza unayaanza maisha me kusikia mazila ya ndoa.
 
Makamanda na mabaharia tusimwangushe mwenzetu lazima tumsemee popote alipo na tumtetetee hakikisheni hatumwangushi
 
Huyu ndugu yangu Sidhani kama akili zitamrudia nikiweka Maisha yake hapa unaweza kustaajabu mimi ninacho mpongeza ana uvumilivu wa ajabu sana maana licha ya Mwaume kuwa mgumu kutoa pesa ya matunzo pia ni mpigaji.

Duh. Huyo Ndugu yako amerogwa nini? 😂😂😂
 
Yes ni MBWA kabisa yaani, Management By Walking Around. One sided story zimekuwa kitanzi na hukumu kwa wanaune, haya yana tokea kwa pande zote mbili kwa msingi wa Nani zaidi, na beef kama hizi. Tumtegemee Mungu na tuji shushe ili familia zetu ziweze kustawi, mke karudi kwao kuendelea na vibarua vyake akiwa na mtoto mmoja mpaka wana fikisha watatu hapo kati hakukua na vikwazo? Je, mume anao uwezo wa kukaa na kulialia hadharani au anakufa na tai shingoni? Alimpenda mke ndio maana alimuoa ila ana teseka kimya kimya, wamama kuweni na huruma leeni watoto wenu ili wawe Bora hapo baadae, miaka kumi na nne si haba endeleeni kuupanda mlima mteremko bado, haya mwenye masikio na asikie.
Soma vizur habari kama hujaelewa usitengeneze story zako mkuu. Ningerudi kwetu hao watoto tungewazaaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom