Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Hahahahahahha umeamua kutuma na ushahidi kabisa???
Hahahahahahha umeamua kutuma na ushahidi kabisa???
Hawa watu ni shidaaaCompilation mbali mbali za 'bby nkwambie k2'
View attachment 798168 View attachment 798168 View attachment 798169 View attachment 798170 View attachment 798172 View attachment 798173 View attachment 798175 View attachment 798177 View attachment 798180
aisee pole sana mkuu.Mapenzi hamna ni utapeli tu juzi hapa kuna demu mmoja kaniomba elfu 40 kaniambia anataka anunue viatu nikampa baada ya siku tumejuana kama wiki nilimpenda kweli baada ya siku mbili ananitumia sms kuwa kasafiri kama vipi nifute namba yake hataki nimtafute tuachane awezi akarud dharau kibao baada ya wiki akaanza kunitafuta tena visalamu vyake anarudisha ukaribu nikawa najibu akajifanya mimi mwezi sio mda atarud kumbe hapo kamepata tatizo kubwa sasa kanaona hamna msaada mwingine kakaanza kunikopa elfu 60 ninkwambia ninay ila siwez kukupa kalituma matusi mengi nilishangaa
nilichokigundua madem zetu hawa hata uwatatulie shida zao hawana ata chembe ya shukrani
peleka fb hiiWasalaam..
Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchepuko wako/ au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.
KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''
2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''
3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''
Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.
ASANTENI
Duu, hizo shida utalimalizaje? Ukimjengea nyumba, ukishamkabidhi, ataomba fedha ya matumizi na maintanance. Baadae ataomba gari ya kutembelea kumaintain status ya uzuri wa nyumba. Kama ilikuwa rav 4, zikatoka New models na akanunua jirani tuu mpangaji, ataona dharau,naye atataka ya juu yake. Kwa hapo tuu mkuu utakuwa hujazeeka? Au kujitoa uachie wengine?Mimi nisipotatua shida ya mpenzi wangu huwa najiona sio kidume...
Sijui nina matatizo gani!
Ndio madem wa aina. Yaan hakuna simu ya salam au kukujulia hali. Kuna simu ya kuomba hela na vibomu.Mapenzi hamna ni utapeli tu juzi hapa kuna demu mmoja kaniomba elfu 40 kaniambia anataka anunue viatu nikampa baada ya siku tumejuana kama wiki nilimpenda kweli baada ya siku mbili ananitumia sms kuwa kasafiri kama vipi nifute namba yake hataki nimtafute tuachane awezi akarud dharau kibao baada ya wiki akaanza kunitafuta tena visalamu vyake anarudisha ukaribu nikawa najibu akajifanya mimi mwezi sio mda atarud kumbe hapo kamepata tatizo kubwa sasa kanaona hamna msaada mwingine kakaanza kunikopa elfu 60 ninkwambia ninay ila siwez kukupa kalituma matusi mengi nilishangaa
nilichokigundua madem zetu hawa hata uwatatulie shida zao hawana ata chembe ya shukrani
weeeh....mademu hawa wa kipindi cha jiwe yaan wote wameuwawaMsiishi kwa kukariri, sio kila anayekwambia maisha magumu/mambo mabaya n.k anataka kukuomba pesa!