Ukiona M/kiti wa chama anakipambania chama ktk kampeni ndogo namna hii .....

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Km nilivyosema,ni aibu kwa chama kikuu cha UPINZANI kumsumbua M/kiti taifa ktk makorongo na polini eti akipambanie chama ktk UCHAGUZI mdogo wa diwani-AIBU!

Ieleweke,si kosa bali ni AIBU!Kiongozi mkuu hapaswi kuwa front mwanzo mwisho kiivyo. Huyu alitakiwa kuwa mtu wa kwenda sehemu maalum tu na si vingunevyo.

Kampeni km hizo walitakiwa watoto wadogo km kina Katambi.

VINGINEVYO,hii ni taswira halisi ya chama kuwa ktk hali mbaya na kutokuaminika tena kwa wananchi.

Rudieni sera na mlichokuwa mnakihubiri toka enzi.
 
As long as sio rais wa nchi haki yake mwache tuu ilimradi havunji sheria ya nchi na ya uchaguzi.
 
Unatolea mfano wa Tanzania katika hili lakini usisahau sisi kama nchi tumeshindwa katika vitu vingi na hata mmewasikia Serukamba na Mzee Warioba wanasema mfumo wa elimu ni mbovu kuliko sehemu yoyote!
Je, huoni tumefika hapa sabau ya umangimeza kukaa na kutoa amri badala ya kwenda kwenye grassroots!?
 
Mikutano inayofanyika si tu ni mikutano ya kampeni ya udiwani bali ni njia mojawapo ya kueneza chama kwa wananchi kwa njia ya mikutano ya hadhara baada ya mikutano ya vyama kuzuiwa na baba ubaya.
 
Km nilivyosema,ni aibu kwa chama kikuu cha UPINZANI kumsumbua M/kiti taifa ktk makorongo na polini eti akipambanie chama ktk UCHAGUZI mdogo wa diwani-AIBU!

Ieleweke,si kosa bali ni AIBU!Kiongozi mkuu hapaswi kuwa front mwanzo mwisho kiivyo. Huyu alitakiwa kuwa mtu wa kwenda sehemu maalum tu na si vingunevyo.

Kampeni km hizo walitakiwa watoto wadogo km kina Katambi.

VINGINEVYO,hii ni taswira halisi ya chama kuwa ktk hali mbaya na kutokuaminika tena kwa wananchi.

Rudieni sera na mlichokuwa mnakihubiri toka enzi.
Hujui maana ya siasa, na hujui ulichokiandika. Umeandika utafikiri unakaa China, pole sana kwa kuiga mkumbo. Eti, Mwenyekiti wa Chama cha siasa hawezi kwenda kupigania Chama kwenye uchaguzi mdogo, pole sana, ila mwenyekiti ànaweza kuandaa mtandao wa kuwarubuni wapinzani kwa nguvu, vitisho, ghiliba, ahadi za kupata vyeo na fedha ili kuhamia CCM!! Pole sana.
 
Back
Top Bottom