Ukiona karoho kanakuambia acha, piga chini nakuambia piga chini

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,174
841
Epuka kujifikiria mara mbili mbili ndugu... Usione huruma wanawake wanabadilika kama kinyonga...Roho ikikuambia acha, piga chini nakuambia piga chini faster hakuna kuremba.

Kuna manzi ilibidi niipige chine miaka minne iliyopita, nilishaweza kuiacha kimya kimya kabisa...tulishaanza kuwa cool kabisa si nikaingiwa na huruma, nikaendelea kupakua mzigo..

Daaah kumbe demu alikuwa ni bonge la pretender, demu kumbe alikuwa hana hata chembe ya upendo, na hayo yote sikuyajua ila moyo uliniambia tafuna na utembee huyu siyo demu wa kutunza.

Aiseee mwaka jana imenimwaga ile manzi... Afu sikutegemea tena ikanieleza kabisa eti ameona hastahii kuwa na mimi kabisa maana nilikiwa gud boy sana.. Kumbe huko nyuma ya panzia demu alishakuwa na ma x kibao mi bila kujua.. Siku inanipiga chini eti inasema kabisa daahhh.. Nilipaniki vibaya mnoo maana yule demu nilikuwa na kula kavu sana, niiamini alikuwa ni mtu mwenye hofu ya mungu kama alivyokuwa ana pretendi... Niliogopa sana nipokuja kugundua uozo wake.

Ndugu yangu nakuambia. Roho ikikuambia piga chini , wewe piga chini faster...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana hiki kipimo cha moyoni ila wengi hawajui kuusikia moyo. Na hata wakisikiliza hawalifanyii kazi. Badala yake wanafuata mihemko ya tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom