Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Naona chura mwisho nguvu zinamuishia maana anakosa kupumua huko mdomoni ha ha haDuuh! Self defence hiyo.... Amavubi nice pic!!
Naona chura mwisho nguvu zinamuishia maana anakosa kupumua huko mdomoni ha ha haDuuh! Self defence hiyo.... Amavubi nice pic!!
Duh Korongo kala kabali hadi anarembua si mchezo.
Bingwa, kwa taswira hiyo wote watakufa Maana koo ni sensitive sana....Naona chura mwisho nguvu zinamuishia maana anakosa kupumua huko mdomoni ha ha ha
Naona chura mwisho nguvu zinamuishia maana anakosa kupumua huko mdomoni ha ha ha
Ha ha ha hili sebeneke si mchezo sijui kama kuna atakayesalimika hapo!!!Chura akikamata vizuri, nadhani ndege ndio ataanza kukosa hewa na kuachia.
Duh Korongo kala kabali hadi anarembua si mchezo.
Chura anasumu....naona kama chura atapuruchuka