Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
Wanajukwaa.
Siku ya Jana Tume ya Taifa ya uchaguzi imelejesha bakaa ya fedha zilizosalia wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana. Hatua hii kweli inawalakini, kwani tume hii imekabidhiwa jukumu kubwa na watanzania kwa kuendesha uchaguzi wa wazi, haki na amani. Tume ya uchaguzi ilishindwa kufanya uchaguzi wa haki na wazi hatua hiyo, imesababisha malalamiko mengi, kwanza watu kutojiandikisha kwa wakati na pia wengi wao kutopiga hata kura. Pia tume imeshindwa kuendesha uchaguzi wa haki na wazi licha ya kuwa kulikuwepo amani na utulivu. <br /><br />Haki uhinua taifa, hofu ubomoa taifa.. Jana Tume ya uchaguzi imelejesha fedha baada ya kumaliza uchaguzi mkuu uko nyuma tume hii ilishindwa kazi kutokana na kukosa fedha za kuendeshea majukumu yao yaliyopangwa kwa mwaka husika mbaya na ni vyema .. Kesho ukisikia Jeshi la wananchi wa Tanzania na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa wamepeleka au kulejesha bakaa za fedha basi nchi imekwisha na taifa limeangamia kwani JWTZ na TAKUKURU ndio Taasisi pekee za serikali zinazotekeleza kazi zake bila kuingiliwa, upendeleo, hofu ama woga Taasisi izi ni imara na zakizalendo zenye nidhamu, uti na kwa kiasi furani haki inaonekana kutendeka. tunaziomba zisifanye kazi kwa kufuata upepo wa hofu.