Jamaa mmoja ana mke ndani alafu kawapiga mimba wanawake kama watano hivi wakiwamo mahouse girls, alafu nimemkuta kakaa analalamika eti ana matatizo nimsaidie mawazo na nilivyomuuliza ndio kanieleza haya.
Je, tumchukulie huyu kama shujaa wa matatizo!? Quote zingine inatakiwa umakini kuzieleza wakuu.