Ukiona hizi picha unakumbuka nini?

Kabila jipya na Ngoma mpya ya kienyeji ya kabila la dar es salaam Ngoma aina ya brass band ya kuukaribisha wageni wakati mikoani Kuna Ngoma za asili za lizombe, mganda, ukala, mawindi, bugobogobo wanazovaa mavazi ya kutosha ya ngozi za wanyama na kutivua vumbii
 
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…