masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Gwe naponile kikolo, but I was shaken!!Masopakyindi gwaponile kikolo, ulinkafu? wasiwasi ni ujinga lakini ni akili. Kyala nnunu mwee, akupokile.
Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:
View attachment 67294
mmh!hapa ajali nje nje...hawa wanao overtake cjui kama zinawatosha.
Tuntufye Untwa. Katoa sadaka ya shukrani.Gwe naponile kikolo, but I was shaken!!
Ukifikiria Lori lilolua pale Mbalizi na kumkosakosa Mbunge Mary Mwanjelwa only a week earlier.
Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:
View attachment 67294
Gwe tuntufye Kyala. Nitatoa shukrani ibadani Matema Beach KKKT Centre, tarehe 21/10/2012 karibu sana tushiriki pamoja.Tuntufye Untwa. Katoa sadaka ya shukrani.
Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:
View attachment 67294
mmh!hapa ajali nje nje...hawa wanao overtake cjui kama zinawatosha.
View attachment 67290
Wakuu nikuwa kulee Nyanda za Juu Kusini,basi pale kwenye kapori ketu ka Sao Hill, mahali ambapo kamwendo kanakubali vizuri.
Ghafla baada ya kilima unaliona lori linakuja kwa mwendo kasi liki ovateki lori jingine!!
Hakuna jinsi, sala kwanza na kuyashukuru maisha uliyokwisha yaona!!!!!
Hawa madreva hawajifunzi hadi wafe!!!!! Shida kubwa kwa wengi wa watumiaji wa barabara ni kukosa uvumilivu!!!!!Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:
View attachment 67294
Hii ilikuwa inaendeshwa na mtu au jini? ni chombo kinachotumia barabara au anga? Hapa duniani kweli watu hawaogopi kuumia!!!!masopakyindi .. huyu kichaa mwingine ni 400 km/h
Alafu angalia speedometer yake ... 60 hadi 140 km/h tairi moja limenyanyuka juu! ... (anatembelea tairi moja!!!)