Ukiona hivi jua umechokwa!!

Ni kweli mkuu... lakini sio zote ... shughuli nyingi za maisha zinaweza kukufanya uends up kwenye moja ya hizo points... so be careful na ujiamini
 
Tena inaonekana ni mtu mwenye wivu (Purple) ndio maana hapendi kutoa Likes. Anza leo nilikua sijalitambua hili uungwana ni kupongezana. Huoni akina dada wakikutana tu anasikia umependeza hata kama kiunafiki.
 
bila shaka waliochokwa wamekuelewa
 
Ni kweli mkuu... lakini sio zote ... shughuli nyingi za maisha zinaweza kukufanya uends up kwenye moja ya hizo points... so be careful na ujiamini

ni kweli ndo mana hii sio formula ni tips tu!
 
Tena inaonekana ni mtu mwenye wivu (Purple) ndio maana hapendi kutoa Likes. Anza leo nilikua sijalitambua hili uungwana ni kupongezana. Huoni akina dada wakikutana tu anasikia umependeza hata kama kiunafiki.

natumia simu jamani kha!!
 
Alaaa kumbee!!! Ahsante sana Purple kwa kunijuza
 
Last edited by a moderator:
Mc Tilly Chizenga kabla hujamjudge mtu jifunze kuuliza kwanza!natumia mobile version na kwenye simu hakuna kitufe cha like sasa kosa langu ni nini?

purple,nitakuwa nime-ku-miss-judge only if ktk mahusiano yako unafanya hayo niliyodhani hufanyi,then i say am sorry

kutumia simu,ni point isiyo na mashiko,wenzako tunatumia sana simu pengine kuliko wewe,lakini tukiona like zimeingia kama 10 tunatafuta pc,tunatupia japo ka-like kamoja kaku-balance tu mahusiano....kujali au ku-care is a two way action,kama mawasiliano!

kwa mara nyingine,samahani kama nimekukwaza,nilidhani nakusaidia maana niliona post yako imekaa kama personal experience!nikajua ushachokwa tayari!
 
hahahaa poule!unda katiba mpya sasa..

Katiba ya jamhuri ya muungano yenyewe haijaliwi ndo itakuwa ya PetCash.....Cha kufanya bibie anzisha post ya nini cha kufanya ukishahisi umechokwa
 
Katiba ya jamhuri ya muungano yenyewe haijaliwi ndo itakuwa ya PetCash.....Cha kufanya bibie anzisha post ya nini cha kufanya ukishahisi umechokwa

oukey ukishaona hivyo usianze kumlaumu tafuta ulipokesea then rekebisha makosa yako little by little mambo yatarudi kwenye mstari..
 
Tahadhari:

Haya yote haimaanishi hakupendi, anakupenda sana sema tu kachoka mambo yako yasiyovutia!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…