Kama ikiwa ni maranyingi jua umechokwa, lakin hata kama akiwa na kaz kwanini asikwambie asipokee na kukwambia badaeKwani mkuu ukiwa na mahusiano na mwanamke, muda wote yeye atakuwa anaangalia simu tu ukipiga au kumtumia text ajibu kwa wakati? Hana kazi zingine za kufanya zaidi ya kusubiri simu yako?