na itabid ulipuke tu hamna namna manake kila siku unampigia hapokei leo kapokea anakuomba pesa aaaah baharia kwa kutaka kuonekana unajali mwenye mapendo lazima zikutoke piga ua garagazaInakuaje demu wako akitaka kupokea simu zote za wanaume wanaomtongoza?ukiona hizo dalili kula kona kuna chance kubwa ya kuja kuumizwa siku mambo yake hayaendi poa anapokea na anakupiga kibom cha kufa mtu
but mine wasn't a demo sweetheart. I really miss youNow that's how a man texts.
Watu kama hao dawa yao imeshapatikanaMbaya zaidi anaziona miss call zako lakini hakutafti japo akudanganye simu ilkua chaji nayeye alikua nje anafua au unatuma sms haijibiwi
Ukiendelea na ukauzu huo utakosa mke mjukuu wangu.Yaan watu wahv wanikomeee
Mjukuu wangu hawa watoto wanapenda kubembelezwa ujueNafikiri ww ni mfipa mwenzangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naweza nikawa mbende,mkonongo n.kNafikiri ww ni mfipa mwenzangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mjukuu vipWanawake wengi twajua kupenda haswa, ndio maana wengi wetu huwa wahanga wa wapenzi
Akileta ujuaji upi mkuu??Mimi nafikiri kila mmoja apambane na hali yake, unayetesekea mapenzi kila la kheri na unayeyachukulia kama mimi safi endelea kukaza
Kuna mavitu kuyaendekeza ni kujitafutia ugumu wa maisha tu
Binafsi mwanamke ndio anatakiwa akaze sana ili nimpende akileta ujuaji napita hivi
Kumbe wewe ni mfipa, no wonder.Nafikiri ww ni mfipa mwenzangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbaya zaidi anaziona miss call zako lakini hakutafti japo akudanganye simu ilkua chaji nayeye alikua nje anafua au unatuma sms haijibiwi
Watu kama hao dawa yao imeshapatikana