Ukiona Dalili ifuatayo ujue hupendwi...

Na mtu jamani hakupigi wala hakujulii hali yeye ni hasira tu masaa yote nakukushutumu kwa hili au lile anapenda mapenzi kushinda chai jamani huyu ananja tu ila mapenzi hakuna napia shida ni hii usipompa ndio visa vinaanza .
Swali amepewaga hapana
 
Tatizo la wababa akijua tu ameshapendwa baaasi....
Sio kweli. Sisi tukiwa na upendo 100% pale mwanzo nyinyi 0%
Muda unavyosogea asilimia zenu zinapanda wakati za kwetu zinashuka kwa kasi ya 4G
 
Vipi muhindi akiwa anakula mikeka yako kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakua hakupendi piaa etii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jinga kwel ww
 
Simply kikawaida kama mwanamke hajakupenda hajakupenda tu hata ufanyaje, hata upandishe upendo mpaka mlima kilimanjaro.
 
Kiukwel kama ni mwanamke material mimi nitakuja mkosa coz nini moyo mdogo sana yaan nikiingia kwenye mahusiano na limtu ambalo mimi ndio naplay part ya kulitafuta lenyewe hata nisipo litafuta linanipga kimya huwa nafikia kipindi na mm nalipotezea kabisa ujinga sipend mm.
 
hapo unakuwa umefuata katiba ya mabaharia vizur.......kinachofata huyo mdada asubiri tu upepo wa kisuli suli
 
hapo unakuwa umefuata katiba ya mabaharia vizur.......kinachofata huyo mdada asubiri tu upepo wa kisuli suli
Kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baharia umenena kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…