Mkuu, usifadhaike nafsini mwako, Mkwere alishasema, 'ukitaka kula, lazima uliwe kwanza'... Pole mwaya.Ukiona anampa mtu simu yake apokee akwambie mwenye simu katoka jua imekula kwako....
Huyu bint 0676243350 yupo moro alinambia amenipatia dada wa kazi nimtumie nauli amsafirishe Kilimanjaro. Alitafuna pesa yote na nkipiga simu hapokei au anampa mtu apokee.
Ukiwa na ahadi na msichana siku ya tukio akakwambia kaona siku zake hivyo hawezi kuja, jua imekula kwako kuna men mwenigine amechukua nafasiUkiwa unamuona mtu online meseji zako hajibu anasoma na kuzikaushia, jua hapo umekuwa gumzo la kijiwe chase, anasoma na kushare na wenzake
Kwani hapo amekula nini sasa.Mkuu, usifadhaike nafsini mwako, Mkwere alishasema, 'ukitaka kula, lazima uliwe kwanza'... Pole mwaya.
Tena inauma zaidi pale utakapomkuta anawanunulia wanawake bia na nyama choma na kutoa offer kibao kwa washkaji zake.Halafu mie nishagasema,
Mtu ninayemdai hela yangu halafu yeye akaendelea kunenepa hio ni dalili ya dharau...
Unamwambia "njoo tu sio lazima tujigijigi" akikataa umeliwa mkuu.Ukiwa na ahadi na msichana siku ya tukio akakwambia kaona siku zake hivyo hawezi kuja, jua imekula kwako kuna men mwenigine amechukua nafasi
Nimepoa aisee maana demu mwenyewe kanipiga mkwanja na bado ananipiga na mkwara juu kisa baba ake mganga wa kienyeji.[emoji119]Mkuu, usifadhaike nafsini mwako, Mkwere alishasema, 'ukitaka kula, lazima uliwe kwanza'... Pole mwaya.
Hii dili imekula kwake. But akiwa mjanja yeye atakula kwenye dili nyingine...Kwani hapo amekula nini sasa.