Ukiona choo kwenye ndoto usikitumie

Ukiona choo kwenye ndoto usikitumie

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,827
d13f2c6530c26536a8b648d341cba43a.jpg
 
dah kweli mtego mkuu,siku moja si nkakitumia kwa haja ndogo.
 
Ha ha ha ha ha kuna watu wana vituko.....
 
Yaaniii hii tego enzi ya utoto unaota kabisa unacheza rede na wenzio mara mkojo ukakubana ukakimbilia chooni ukianza tu kukitumia ndio washusha kojo kitandan ivyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Choo kwenye ndoto ni kama mbwa kwa chatu ukikiona utakitumia tu huwezi kwepa.
 
Shida ni kwamba hujijui kama upo ndotoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom