Ukiolewa ndio uache nguo zote kwenu?

Ukiolewa ndio uache nguo zote kwenu?

mkeo unashindwa kumwambia live, unakimbilia kumtukania jf.

he he, nyie wanamme wa kileo mna mamboo
kila mtu akisema anyamaze na lake hili jukwaa utahamia kule kwa dr slaa na mwigulu...btw vicky anaendeleaje
 
mimi kwakweli nitaenda na nguo niliyova tu hats kanga za kitchen party naacha om
 
hee huyo mke anaenda kupata shida mara hii hata kabla honeymoon haijaisha masemango yameanza?

Na bora angemuuliza uyo mwanamke sababu ya yeye kuacha nguo, ndo akaja kulalamika apa.
 
Mwanaume mwingine anakwambia acha kila kitu anahis may b vngine ulinunuliwa na ex so utamkumbuka.
 
nimefanya research ujue...tuna miaka miwili now...tukiendaga kwao huwa anazivaa kwa muda ambao tutakua apo...labda akipika au kusaidia vikazi apo kwao...na anazipenda...!si azichukue??

she want you to buy for her uone uchungu
 
Mwanaume mwingine anakwambia acha kila kitu kwenu anahis may b vngine ulinunuliwa na ex so utamkumbuka.
 
Sioni tatizo mtu kuja na nguo chache kwanza wengi wakiolewa wanapata zawadi nguo nyingi bila shaka zinakuwa mpya,sasa ukitaka abebe hata visepele vyake vya zamani si ni kumwaibisha mwenzio,pia inabidi aanze maisha mapya manguo ya zamani ya kazi gani? Unatakiwa kumtunza mke si vinginevo.

hebu mshauri mwanaume mwenzio
 
si huwa wanawatunza zawadi kwahiyo nahisi wanahofia kujaza nguo
 
Sioni tatizo mtu kuja na nguo chache kwanza wengi wakiolewa wanapata zawadi nguo nyingi bila shaka zinakuwa mpya,sasa ukitaka abebe hata visepele vyake vya zamani si ni kumwaibisha mwenzio,pia inabidi aanze maisha mapya manguo ya zamani ya kazi gani? Unatakiwa kumtunza mke si vinginevo.

hebu mshauri mwanaume mwenzio, huyu mwanaume anawaka tu looohhh
 
Angebeba mifurushi yote napo ungesema ooh huyu mwanamke kwani haendi kusalimia kwao?... Hiyo inaitwa gubu la mume!! Atajuta huyo mkeo!!
 
Back
Top Bottom