Ukiolewa ndio uache nguo zote kwenu?

Ukiolewa ndio uache nguo zote kwenu?

nimefanya research ujue...tuna miaka miwili now...tukiendaga kwao huwa anazivaa kwa muda ambao tutakua apo...labda akipika au kusaidia vikazi apo kwao...na anazipenda...!si azichukue??

Ama kweli ndoa ndoano ,,,,,,,
watu full kuviziana na kuchorana.
 
nimefanya research ujue...tuna miaka miwili now...tukiendaga kwao huwa anazivaa kwa muda ambao tutakua apo...labda akipika au kusaidia vikazi apo kwao...na anazipenda...!si azichukue??
asa mchepuko si uvunje ukimya uzungumze na mwenzio..au hujui kumsengenya mwenzio ni dhambiii?
 
we mwache na hzo hzo alizokuja nazo, akichoka kuzvaa, atazfuata mwsho wa cku
 
Back
Top Bottom