Ukinitongoza tu lazima unioe

April26

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
1,405
Reaction score
2,163
Kwani kuna wanaume wanatongoza siku hizi??

Ni nani hao ??

Wanawake wenyewe ndo wanajitongozesha !!


Hii thread imekujaje nyie Admns, mm nacomment halafu yenyewe inajipa.headline.

Duuh
 
Dah mkuu umenifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuna wanaume wanatongoza siku hizi??

Ni nani hao ??

Wanawake wenyewe ndo wanajitongozesha !!


Hii thread imekujaje nyie Admns, mm nacomment halafu yenyewe inajipa.headline.

Duuh
Stress mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…