Hatutongozi kwasasa. Tunanunua maana kutongoza ndiyo mwanzo wa kubambikiana mimba na mizinga mingi mingi mara hauna hela ya kula.
Nikiwa na hamu natenga 10,000 bao zangu 2 zinanitosha. Nikitoka hapo hakuna kujuana
Nilimuona mtoto mkali * vijana wanamwita pisi kali.
Nikaona nimtole mahari * awe wangu mwari
Kumuweka ndani ana* maneno makali na akili ya kachumbari.
Pilipili ya mpemba * Muuza chipsi kona daraja la salenda.
IGP Leta kijana wako * aniweke sero nimechoshwa na kero.
Trakoo chini trakoo juu * akili yangu ilikuwa na maji ya upako.
Maji ya upako wa bia * muulizeni mlevi mwenzangu super konki atawaambia.