Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,024
- 2,455
salaleee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nishawahi kulala chini kumwachia kitanda. Akaja kunirudisha kitandani.
Bora hata ningekuwa nishaoa. Hapo sijamuoa kabisaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee ama kweli ndoa n
Kuvumilia
Dhuuuuu hapo alikua anakupmaBora hata ningekuwa nishaoa. Hapo sijamuoa kabisaaa.
Wala sio kunipima....maana sio mara ya kwanza.Dhuuuuu hapo alikua anakupma
Tu aiseeee