Ukinichiti nakuchiti

Haha tatizo lao wanatoka kwenye hoja wanaanza kutumia mihemko wengine matusi ila ndio hivyo wanaelewa sema wanajitoa ufahamu tu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Personal attack
Hana hoja anaanza kuattack jinsia au mhusika
Tunaenda nao bampa to bampa
 
Wewe unaona suluhu ni ipi mkuu labda tusikie na maoni yako, mind you kuachana hakuna tofauti na kuchepuka maana tafsiri ni ile ile tu kubadilisha wanaume/wanawake, wewe unaona suluhu ni ipi hapo

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app

Ok vizuri, kwanza niseme kwanza napenda mijadala ya aina hii ambayo tunaulizana kwa staha.

Maoni yangu:

-Kama unahisi sehemu haina upendo , suluhu ni kuachana kabisa sio kucheat. Mana hii kuforce ndio mwisho mnapigana na mashoka na mapanga

-Anaedhalilika zaidi kwenye suala la kucheat ni mwanamke hivyo mwanamke hapaswi kushidana na mwanaume.


Pia ifahamike mimi sio muumini wa kucheat na pia kama unacheat kwa namna yoyote ni heshima sana Kuhakikisha kuwa mwenza wako hajui
 
Umeishiwa hoja umeamua kuja na ad hominem attacks, halafu eti hii ndio jinsia inayojisifia kutumia logic na siyo hisia wakati hapa tu umetumia mihemko yani umejibu kama uko kwenye siku zako, kakojoe ukalale bruh
Wewe DEMU tu sawa na Taulo/Tambala la Guest lipo kwa ajili ya kujifutia majanaba,
 
Si ndio namshangaa mkuu hata maana ya dame hajui mwenyewe anajiona katukaaana masikini
Kwa hio nyinyi ni akina maDame? Yaan Van Dame nae ni DEMU?
 
Kama huchiti wala hutachitiwa
Tatizo ni wale wanaochiti halafu wanataka wengine wafe na stress
 
Elimu yangu na akili yangu havina uhusiano na wewe kuitwa DEMU, acha kujifanya kujua wewe ni DEMU ni DEMU tu utapigwa mashine utaachwa kulialia watakuja wengine watakupiga mashine watapita kushoto maana wewe ni DEMU, copy that?
 
Wewe DEMU tu sawa na Taulo/Tambala la Guest lipo kwa ajili ya kujifutia majanaba,
Na mama yako kumbuka nae ni mwanamke? Kama mwanamke ni kama tambala la gest , na mama yako ni mwanamke then .....hebu malizia
 
Kwa hio nyinyi ni akina maDame? Yaan Van Dame nae ni DEMU?
Mkuu,
Kwani Van Nisterlroy, Van Persie na majina mengine yenye VAN yana maana gani?

Lakini pia unatakiwa kujua chanzo na maana ya majina kabla ya kufanya hitimisho. Dame ina origin ya huko ufaransa na imetoholewa kwenye lugha nyingine kama kiingereza kwa maana ile ile.

Lakini pia yule mwamba nadhani ni Van Damme na sio Van Dame.
 
Kiswahili fasaha DEMU ni kitambaa ambacho mwanamke amekitumia wakati wa hedhi.

Km unavaa kitambaa wakati wa hedhi wewe ni DEMU tu hata ukiwa na jinsia ya kiume

Haya tofauti ya Damme na Dame hii hapa, Mimi nazungumzia DEMU sio DAME au DAMME, copy?!

 
Van ni son of
 
Na mama yako kumbuka nae ni mwanamke? Kama mwanamke ni kama tambala la gest , na mama yako ni mwanamke then .....hebu malizia
Haijarishi km anavaa kitambaa cha wakati wa hedhi yeye ana tofauti gani sasa au wewe sio DEMU hauvai taulo wakati wa hedhi?
 
Duh mkuu sawa, ila nachojua hilo neno limetoholewa tu na kuletwa huku kama lilivyo.
 
Duh mkuu sawa, ila nachojua hilo neno limetoholewa tu na kuletwa huku kama lilivyo.
Hapana mtohoo wowote DEMU ndio maana yake hio waone BAKITA watakupa maelezo zaidi kuhusu neno DEMU
 
Sasa unamuachaje aliyekuacha? Maana ukiachwa wewehuna wa kumuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…