Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Updates
Wakati napost huu ujinga wangu wala sikuwa na hard feelings ila maoni ya waja hasa ya wanaume yamenifanya niwe serious kidogo. Yani kwa kifupi wanaume hawapendi kuchapiwa kabisaaaaaa...yani wanapenda wao watende ila wasitendewe.
Ina maana umeniacha au umenitenda je nibaki single milele kisa K itachakaa??
Unanitesa bado nivumilie mateso kwakuwa tu eti nitaonekana malaya?? Kama moyoni mwangu najua sifanyi umalaya wala sijali. Ukiniacha na mimi nakuacha.... ukinichiti na mimi nitatafuta wa kunipoza tena nahamia kimapenzi huko kabisa.
Kwa hiyo furaha mmeumbiwa wanaume zaidi ila wanawake wameumbiwa mateso?
Asee wembe ule ule ulionyolea mwenzio ndo utakaokunyoa.
Naka #kichwayamaster