Mahari utanilipia wewe?
Mkuu inawezekana kabisa wakati wa gemu hukutumia kinga,na kama ulitumia inawezekana pia aliondoka na sha......zako na kwa watu fulani huzitumia kuumiza wenzao,mimi kuna mmoja alinifanyizia kiasi kwamba ndoa yangu ilikaribia kusambaratika maana kila nikitaka kufanya tendo la ndoa kwa mke wangu jogoo alikuwa hawiki,ila nikirudi kwake ni full power tena najisikia raha ya ajabu.Nilipokuja kugundua mchezo wake mpaka sasa sitaki kusikia habari za one night stand ni heri nibaki na mama watoto kwa amani kuliko kuishi kwa wasiwasi.
Mkuu Kilaza kuna mambo huwa tunafanya lakini ni vigumu sana kuyasema hadharani ila jua tu kuwa nilitumia njia ambazo si rasmi kijamii( za giza)kama alizotumia yeye na nilipona.ulitumia dawa gani
Unaamini katika kurogwa katika zama hizi za sayansi na teknolgia!! Imani hizo ni za kijinga
wee unafurahia matatizo ya wenzako ehhhhhhhKwi kwi kwi kwi kwi yaani nimecheka kweli jf naidumu mika mia nanee!
kumbe gwajima fundi wa mambo haya!ndo maana basi.......haraka kimbilia kwa gwajima ukarekebishiwe...
Nina wax wax na iq yako
Hahahaaaaaa nimecheks mpaka mbavu zinauma. Dah!
Mkuu wewe ulidhani kaamua tu kukusafishia uwanja?! Heheheeee...hiyo kiboko.
hii story ipo humu ndani ililetwa mwaka 2012
nlikuwa nimenuna lkn nimecheka ghafla@Bujibuji
aisee,ina maana aliondoka na wigi....hahaha
Mahari utanilipia wewe?