Ukiniacha Nakuloga

Hahaa a aha h aha ha ha aha a ha ah aahah
dawa yake ndogo sana, ni PM nikupe
 
kwahyo ulvyostuka tu ukakumbuka JF kuandika thread.... mweh
 
Yaani sijui nilizimia sijui nilizirai, sijui nilipoteza fahamu, sijui nilikaribia kufa!!! yaani sielewielewi

Ka test hiyo mashine kwenye mgodi mwingine...................

Si ajabu umemalizwa mazima.................. isije ikawa kitu kinasinyaa kwa wengine (hii ni inapatikana zaidi kanda ya ziwa)
 

Bora ungekufa tu nirithi mpododo huo
 
hakuna cha kurogwa wala nini apo..we potezea tu....kila mtu anamalaika mlinzi wake ......ila na ww acha kucukuachukua one night bhana aaaaahhhh
 
Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.

Hizi ni hekaya na ngano za Bujibuji , zisikutoe povu. Just have one fat laugh!
 
Last edited by a moderator:

watu wana moyo mm kuona vuzi tu hutojua nimepita wap hata makwapan la sivo utaona natapika. ivi mtu utamalizaje wiki hujanyoa? ishiiiiiiiii
 
hehehehehehehe mmezidi na hiyo SAFISHA RUNGU YENU....Boooraaa




 
kashamba kasingekunyoa msitu,unamdharau mtu kumbe mshamba zaid yake ,hiyo mivuz ulifikiria sifa au ulitka tuzo,umethihirisha uchafu wako acha akuloge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…