Ukinasa Hunasuki, Ukigusa huachiiii...

sifa murua toka kinywani mwa mwanaume! kuongezea ni kuwa imekuwa ikisifiwa sana kwa kutumia maneno bandia kwani pamoja na umaarufu wote ilionao, na kupendwa kote inakopendwa, na pesa zote inazolipwa, na sherehe zote inazofanyiwa, na ng'ombe, mbuzi, kuku nk wote inaochinjiwa, vinywaji vote inavyoteketezewa, lakini wote hugwaya kulitaja jina lake waziwazi! haha inapendwa, inagharimiwa lakini haitajwi jina, inaogopwa!


Ndo hapo sweet tunapointerfere sasa, vipi mwaka umeuanzaje lakini?mwenzio nakumiss tu jingine hamna
 
yaaani ni kama kiti cha basi ni sawa na daladala ya mbagala ukiinuka tu anakaaa mwingine tena kwa kugombania...............


Heeeeeeeee makubwa haya yaani kama yale makarandinga ya mbagala tena? Mwaka mpya na mambo mapya
 
ah Preta ntatembelea YAEDA CHINI SOON!!! kuna mmasai alikuwa ananifundisha lugha yao, sasa akaniona na dada mmoja hivi mrembo tunasalimiana akaniuliza rafiki ulikuwa unaulisia NGOMOSI nini hahahahah SAMAHANI wamasai wote km nimewakwaza lkn ndo hali halisi hiyooo


hahhahahahaahaha tutaenda wote maana mikao ya Preta
 
Back
Top Bottom