Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
wallah achana nae hawa viumbe wenye mkia mbele ni vichomi tu!!
Kama vipi oaneni nyie msio na mikia mbele..
By the way, we kama huna mkia basi mkeketo unahusika
wallah achana nae hawa viumbe wenye mkia mbele ni vichomi tu!!
Na asingemweleza leo, BASI SIKU ZA MBELE UNGEMSIKIA... AMENIPOTEZEA MUDA
Sasa hapo aamue mwenyewe kuupoteza muda au la
Kujua muafaka ni muhimu lakini sa kamind nini, ndoto zinaweza kutimia hata baada ya miaka mia, pole mtafute tu huna haja ya kuendelea kujiumiza!!!!
wallah achana nae hawa viumbe wenye mkia mbele ni vichomi tu!!
Hakuna mume Hapo tafuta mwingine harakaHabarini za asubuhi wana Jamiiforums
Nombeni ushauri wenu, nina mpenzi . Jana nikauliza naomba kujua msimamo wako juu ya mahusiano yetu. Akajibu binafsi nina malengo na ndoto zangu kama unaona nakuchelewesha nakuruhusu nenda kwa mwingine atayekuoa haraka.
Sikumiibu chcochote na mawasiliano yakaishia pale. Kila mmoja yupo kimya, ukweli mimi naumia maana ninampenda,
sasa wadau nishaurini nianze tu mimi kumtafuta? Au niendelee kukaa kimya au nifanyeje?
Ushauri tafadhali- mahusiano yetu yana mwaka sasa.
Ushauri tafadhali- mahusiano yetu yana mwaka sasa.
Muafaka wa dei wani unajulikana kuwa ni mabanduzi.. sasa in few days mtu anapotaka kuhamisha malengo majibu yake ndo hayo
By the way, we kama huna mkia basi mkeketo unahusika
Nadhani hilo jibu lako ni murua sana
Kha, Wallah unatutusi sasa! Eti kitu gani vile? Mkia wapi?
Hii Dunia ya Mungu ni kubwa na ina mabo mengi sana,Muda wa sisi wa kuishi ni mdogo sana,jaribu kujipa furaha,chapa mwendo utampata atakaye kufaa,enjoy,be happy.ciaoHabarini za asubuhi wana Jamiiforums
Nombeni ushauri wenu, nina mpenzi . Jana nikauliza naomba kujua msimamo wako juu ya mahusiano yetu. Akajibu binafsi nina malengo na ndoto zangu kama unaona nakuchelewesha nakuruhusu nenda kwa mwingine atayekuoa haraka.
Sikumiibu chcochote na mawasiliano yakaishia pale. Kila mmoja yupo kimya, ukweli mimi naumia maana ninampenda,
sasa wadau nishaurini nianze tu mimi kumtafuta? Au niendelee kukaa kimya au nifanyeje?
Ushauri tafadhali- mahusiano yetu yana mwaka sasa.
so hyo mkuu xor kama nimewakwaza
tafuta kidumu ...........
Grand PA
Hajali hisia zako usihangaike nae hata kama hahitaji ndoa kwa sasa angekutafuta mkalizungumza hilo kwamba ipo hiyo ndoa ila baada ya malengo yake kadhaa kutimia na ungekuwa mshauri wake wa karibu. Amejua unampenda sana ila yeye hakuhitaji kama mke ila girl friend ndio maana amekupa ruksa ya kutafuta wa kukuoa, inaumiza sana kuwa kwenye situation uliyopo ni bora kuvumila maumivu yataisha uendelee na maisha yako, kung'ang'nia hapo ni kuendelea kupokea maumivu mengine itafika siku atakutambulisha mchumba ake laba vigezo anavyovihitaji wewe huna. Umeanguka simama endelea na safari hilo goti ulilolichubua litapona mumy.
kwani nyie wenye matobo kama matundu ya mvua mnaeleweka ??