Ukimya wa Mnyika una uwalakini?

mnyika unamuua ukanda , udini na usukuma. hawezi kuikosoa serikali hii kwa kuwa ni mkatoliki mwenzake, msukuma mwenzake na wote wanatoka kanda moja.
Hivi kumbe JJ. Mnyika ni ngosha!!
 
Pasco, are you serious, that ccm is clean. Ccm ipi!! Hii ya Tanzania!!? No, No, Pasco you must be kidding.
 
Nimesoma post za huu uzi na kugundua mambo mawili. Kwanza ni mapungufu ya uelewa wa jinsi siasa za hii nchi zinavyoendeshwa na na pili ni maoni kughubikwa na ushabiki badala ya hoja za mantiki. Siasa za Tanzania haziko katika misingi ya itikadi; bali ni siasa za maslahi (fursa ya kupiga hela kiulaini). Hakuna mwanasiasa yeyote nchi hii anayegombea nafasi ya kuchaguliwa kwa sababu eti ana uchungu na hali duni za Watanzania. Hakuna! Na ndio maana wabunge kwa mfano wanalipana posho na marupurupu kukufu katika nchi ambayo 70% ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku. Huu ni ufisadi wa kitaasisi na kimsingi yeyote anayeshiriki ni fisadi. Hivyo ukimsikia mwanasiasa akimwiita mpinzani wake fisadi usije ukachukulia kuwa anaamini hivyo kwa dhati. La hasha! Huo ndio mchezo mchafu unaoitwa siasa. Mwandishi Richard Turner alisema, "Katika siasa kupakana matope kunaitwa kutoa pointi murua"! Eti mwanasiasa wa Bongo aamue "kukaa kimya" kwa sababu kuna mwanasiasa "fisadi" amejiunga na chama chake! Du!!
 
Ili mfu
Huyu dogo mnyika mi naona anafit sasa kwenye hii ccm mpya ,
Kule aliko amepotea tu kwa sasa .huyo nafanya mpango wa kumuhamisha huko aliko namtafutia nafasi ya winga pale mbele .awe anasaidia kuleta mpira karibu na goli la watani zangu
Ili mfunge tena goli la mkono 2020 kama mlivozoea??haji huyo..sahau kabisa mkuu..tafuteni kwingine hata kule rwanda kwa sswahiba wa boss wako
 
Ili mfu

Ili mfunge tena goli la mkono 2020 kama mlivozoea??haji huyo..sahau kabisa mkuu..tafuteni kwingine hata kule rwanda kwa sswahiba wa boss wako
Kama haji,basi dawa yako nitakurushi makapi!!
Nikikukosa na huko ,!!
Tunawahamishia kinyesi hapo sitting room !",Lazima mpoteane tu"
​
 
A
aaa ,Kinana ana dola,ana rais ameshinda uchaguzi,sasa yuko bize kusimamia Ilani yake ya HAPA KAZI TU.Kimya kimya
 
Aha! Mlitaka waanze fujo kama The witch Lipumba. Bila aibu professor mzima. Kuondoka na kurudi bila makubaliano. Shame on him. Mbulu hatafanya hilo kamwe. Ccm imemlipa kwa vurugu aliyofanya wakati wa election. Bila mafanikio. Ngoja tuone mwisho wa Lipumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…