BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
worm i remember that article ,and i read it too....and i went further and some human resource people there told me they employ on merits ,however they say many of professional posts wich are not that many in TRA are held by chaggas,hayas,nyakyusas,pares,maasai...just in that hiererchy...but still the remaining supporting posts are held by other fellows with less education...
Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia
mtu kosa na yeye anajua kuwa umemfanyia kosa
lakini anakaa kimya hakuulizi wala halalamiki, ki
ukweli inaogopesha sana.
Lowassa anaaminika nchini kwakuwa mtu asiyeongea
sana lakini huwa anakuwa na mikakati mikubwa sana,
sisi wanaCCM tunamfahamu fika kwakuwa tumekaa
nae miaka mingi sana na alikuwa akishiriki katika
mikakati mikubwa sana ndani ya chama.
Sasa tokea matokeo yametoka huyu mtu amekuwa
kimya anafanya Lumumba hapakaliki kabisa, hatujui ni
kitu anaenda kukifanya. Mashushu wezi wa taarifa
wamekwamba kabisa kuja na taarifa inaonekana
jambo analotaka kulifanya linapangwa kwa usiri
mkubwa ili kuepusha taarifa kuvuja.
Lowassa tunakushauri, rudi CCM tukae meza moja
tuangalie ni wapi tulipotofautiana kisha tusawazishe
maisha yaendelee. Hata raisi mteule nina imani
atakuwa hana amani kabisa anahofu isiyoelezeka.
Lowassa, CCM ni nyumbani kwako. Uwe huru kurudi
muda wowote ule ukijisikia, usimdharau mama yako
aliyekuzaa sababu ya mwanamke changudoa
uliyekutana nae barabarani. Pamoja na tofauti
zilizojitokeza hapo nyuma ukweli ni kwamba wanaCCM
wengi tunakupenda na tunakuhitaji.
Tafadhali Lowassa usikae kimya, unatuogopesha
wanaCCM.
hujui wanacho fikri subiri ICJ wanatoa jibu
mmekua fisi kusubiri mkono kudondoka. ccm haiogopi magamba kujitoa wala haimuogopi mtu. magamba yakijitoa au kutolewa ccm itakua imara zaidi. ni chama cha siasa sio kampuni kutegemea hisa za mtu kama baadhi ya vyama vya upinzami.hujui wanacho fikri subiri ICJ wanatoa jibu
Eti lumumba hakukaliki!mbona watu tuko lumumba tunakunywa mvinyo kwa raha zetu tu.
Acha ujinga wewe!Hakuna adhabu kubwa duniani kama pale umemfanyia