Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Hapa zanzibar hatumtaki huyo mwizi yahee!! Mkituletea huyo nch tunawapa wapinzan.huyo lowasa kwetu ni kharamu.karbun hahawa na karimati.Yaheeh.
 
mnajua sababu ya rais wa JMT kwenda sana nje ya nchi.......waziri wake wa mambo ya nje ni dhaifu sana
 
Kikwetu wanasema hivi:…"unamsifia baba yako kuwa ana mbio wakati anayemfukuza ili amkamate hajarudi" Subiri muvi iishe ndio ujue jamaa ni msitahimilivu au hana la kujitetea!
 
sisi wazenji hatumtak huyo fisadi maana ni haramu kwetu

ndo itabidi mkubali tu hamna jinsi.. Maana saa hivi ni zamu ya mgalatia ila mnayo nafasi tu ya kutoa mgombea. Sasa sijui kama mnae mgalatia wa kushika kifimbo cha baba riz
 
Can silence make a lawyer stronger?
 
EL alipokuwa waziri mkuu sikumbuki ni kashfa gani iliwahi kumkabili ukiachia hiyo ya Richmond,
Hata baada ya kujiuzuru,kama kweli hiyo ilikuwa kashfa ni nini kilifuata,kama vile kumshitaki,kutaifisha mali za richmond etc
lakini hakuna kilichoendelea,na hii mi naitafsiri kama vile utendaji wake uliwatisha baadhi ya watu na hivyo kuundiwa zengwe.Kama kuna anayeikumbuka kashfa nyingine ya EL atuwekee hapa jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…