Ukimya wa Godbless Lema Bungeni

Ukimya wa Godbless Lema Bungeni

Wazo la leo,hata uwe na ushawishi kiasi gani huwezi mshawishi lema kuingia ccm.hahahahaha wanaham na lema kichizi hakuzaliwa ktk upande wa dhuruma yuko upande wa haki na ataendelea kuipigania mpaka the end of his life.eti lema lema lema haonekani we umemuona lema tu.wabunge wa ccm huwaoni?mara yamwisho kumsikia mbunge wa geita nilini?au wabunge wa mtwara unawafahamu hata majina?jembe lema haitaji kusifiwa na maccmpolice
 
sasa umemsikia aki wafanyia diagnosis magamba kansa ya sehemu za siri?

Ccm ni km wahindi ktk mahesabu wanataka uwafanyie stock bila kuona data,hata ulizohesabu.wanataka weledi wa cdm kuwatibu hadi ktk nyeti bila kuangaliwa.

Slowly jamaa wanakwenda ktk jugular veins.
 
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.

Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.


Shardcole.
Ameishapata cha kuvunja ukimya wake, si umesikia vurugu alizoanzisha arusha
Wewe ndio umesababisha afanye vurugu ili asikike kwa sababu ulihoji ukimya wake, angalia siku nyingine jamaa asije vua nguo hadharani ili asikike
 
Ameishapata cha kuvunja ukimya wake, si umesikia vurugu alizoanzisha arusha
Wewe ndio umesababisha afanye vurugu ili asikike kwa sababu ulihoji ukimya wake, angalia siku nyingine jamaa asije vua nguo hadharani ili asikike

kama ni kweli uko uk kama wanavyodai basi naona wamesha kumodernize
 
naogopa kusema sna wewe unaonekana unasoma sana habari soma habari wiki leo kurudi nyuma mpaka ufikishe cku 10 utajua anafanya nini kamanda wetu
 
Huyu chris lukosi ni kama vile malaya au kahaba wa siasa yani akisikia huyu bwana anatoa hela nyingi yeye yuko nyuma ndio maana karudi ccm pumbavu na mwehu usiyeona aibu, tena mchana kweupe
 
Back
Top Bottom