Ukimya wa Godbless Lema Bungeni

Ukimya wa Godbless Lema Bungeni

Yupo bungeni lakini watu wanaompaga maneno ya kusema wamemchunia. kwa hiyo tegemea ukimya mpaka mwisho wa bunge.
 
Wafadhili wake ni kina nani? Ama unataka kuleta matazamo wako finyu ya kimawazo humu?

Ina maana wapiga kura wake tumekufa? Wewe kalikenye muda mwingine kabla ya kuja hapa ni lazima uje na fikira yenye mtazamo ya kiutu uzima wahed wewe!

Baada ya kufiwa na wafadhili wake, bado anaomboleza.
 
Last edited by a moderator:
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.

Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.

Shardcole.

Mkuu Shardcole, subiria kwenye kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hapo lazima utakubali tuu, hata kama waziri kivuli ni Vicent Nyerere.
Kule ndiko huwa anaweza kuwatekenya vizuri hawa jamaaa wa CCM. Niliipenda sana hotuba yake ya kipindi kile baada ya kutoka jela akiwatetea polisi waongezewe mishahara na kulipwa stahiki zao. Kwa mtu wa kawaida huwezi fanya hilo kwa watu amabao wametoka kukuchomekea kesi siku chache ziliozopita.
 
Kukuaminisha kuwa Lema ndo alichangia aibu kwa Mwigulu Loliondo,nilikutana nae Engaruka usiku wa jumapili ya pasaka akirejea arusha akiwa na Kamanda Millya..mengine si lazima apige kelele kama zamani,mtaona vumbi tu
 
Anajipanga, hakurupuki kama Lusinde na Chemba na yule mdini Nkamia
Mbona unatoka nje ya mada? Hoja ni kwamba kwanini Mh Lema hazungumzi,sasa wewe unataka kuingiza swala la udini mkubwa why?

Wito wangu kwa wana jf ni mwamba tushiriki katika kuchangia hoja kwa misingi ya haki na tuzingatie maadili ya kitanzania,si vema kila wakati kuongelea DINI na baadala yake tuzungumzie matatizo yanayowakabili watanzabia.

Dini tumezikuta na tutaziacha
 
Anajipanga, hakurupuki kama Lusinde na Chemba na yule mdini Nkamia
Safi sana kwa kuonesha kiwango chako cha udini. Na kwa jinsi ulivyokukolea huoni udini uliopo bungeni. Bunge lenye idadi kubwa ya wachungaji na waseminari. Angalia CV zao ili kuthibitisha hilo usikurupuke kama wanvyokurupuka ndenge walao mizoga.
 
Mwacheni Mbunge wetu hawezi kuongea ovyo ovyo anasubiria apate channel inayomhusu. Lema akiongea huwa anapenda kuwa na uhakika na kile anachokiongea ili atumie nguvu zake zooote.
 
Wabunge wako zaidi ya 360,walio ongea hawafiki hata 50,unahoji lema kuongea usiwe mvivu wa kufikiri kwanza jembe haitaji sifa yeye hua anafanyaga na hamuogopi mtu so amini kua hayuko kimya anafanya kazi usiku na mchana hata kwenye mvua anakomaa.hujui bananga yuko serengeti?mawazo hujui alipo?milya je?wewe unao wangapi wanao kuwakirisha?jembe ana teknik zaid ya 100
 
Mkuu mbona unatoa povu bila mpangilio, Kwani ni vibaya kujua kwann kamanda Lema yupo kimya?
BTW ahsante kwa ufafanuzi.
 
Mkuu Shardcole, subiria kwenye kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hapo lazima utakubali tuu, hata kama waziri kivuli ni Vicent Nyerere.
Kule ndiko huwa anaweza kuwatekenya vizuri hawa jamaaa wa CCM. Niliipenda sana hotuba yake ya kipindi kile baada ya kutoka jela akiwatetea polisi waongezewe mishahara na kulipwa stahiki zao. Kwa mtu wa kawaida huwezi fanya hilo kwa watu amabao wametoka kukuchomekea kesi siku chache ziliozopita.

Mkuu ahsante kwa ufafanuzi.
 
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.

Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.

Shardcole.
HA ha ha aaaah KUMBUKA kimya kikuu kina MSHINDO! tusubiri.....
 
Kile kitu anachotumiaga dodoma kimekuwa adimu hivyo anakosa mzuka wa kuongea kwani anashindwa kujiamini

Hahaaaa haaaaswaa si unajua tena tulikuwa hatujui kuwa serekali ni impotent! KUMBE mna watoto na wajukuuu bwana!
 
Ivi watz tu na nini kama huna cha kuchangia kwa nini unapotosha na kusema kitu usichokijua amkeni watz
Mambo yote yaliyoikalia vbaya Mwigulu na ccm Loliondo mratibu ni Kamanda Lema,mlitaka apige kelele?
 
Ama kweli wabunge wa CDM wasipoongea bungeni wananchi hawaridhiki, hatuna imani na wabunge wa CCM wengi wao hupigausingizi bungeni wakishtuka wanapiga makofi. Peopleees
 
Ana mawazo tele
Kesi inayomkabili UK, ya bunge, hela za M4C nk
 
Na mimi pia nimemumis sana ktk harakati za kuichachafya serikali na ccm
 
Mmekosa kazi kweli kweli,mlijaribu na mtaendelea kujaribu ila mwisho wenu ni 2015
 
Back
Top Bottom