Ukimwona...

Ukimwona...

PHILE1879

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
645
Reaction score
483
Mtoto PAULINA DICKSON:Msichana,Umri miaka 10 darasa la 4 Alipotea Jumatatu Julai 9 Igombe Mwanza.
Aliondoka asubuhi kwenda shuleni Shule ya Msingi IGOMBE lakini hakwenda.Alibeba nguo za nyumbani alipofika njiani alibadili yunifomu na kuvaa za nyumbani.
Mara ya mwisho alionekana stand ya mabasi Igombe-Mwanza.

Ukimwona tunaomba utoe taarifa please....
 

Attachments

  • IMG_20180527_122058.jpg
    IMG_20180527_122058.jpg
    203.4 KB · Views: 91
  • IMG_20180527_122101.jpg
    IMG_20180527_122101.jpg
    227.2 KB · Views: 48
polen nendeni kwa watumishi wa Mungu wawasaidie kuomba mtoto apatikane..Mwanza kuna michawi michawi huko.Maombi muhimu wamtapike kama yona alivyotapikwa na samaki..Mungu awasaidie apatikane kwa jina la Yesu mtoto huyu..
 
poleni sana, hapakuwa na ugomvi kwenye familia ?
 
poleni sana, hapakuwa na ugomvi kwenye familia ?
Hakwenda shuleni Ijumaa.Jumatatu akamwambie mama yake ampeleke shuleni ili mwalimu asimwadhibu kwa utoro.Mama yake akamwambia kwa kuwa hakwenda shuleni siku moja tu mwalimu hatamwadhibu hivyo aende mwenyewe.
 
Ninavyowajuwa wasukuma, usikute huyu kaenda kuolewa na njemba umri sawa na babu yake. Inasikitisha sana.
 
Huyo usikute anauchezea mshedede mida hii, watoto wa kike nawajua akili zao
 
IMG_20180527_122058.jpg


Mie naomba nisaidie tu kuweka picha vizuri. Vilevile apatikane upesi akiwa mzima na buheri wa afya.
 
Mtoto huyu AMEPATIKANA leo Mchana baada ya kupotea kwa wiki nzima.
 
Back
Top Bottom