mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,730
- 57,887
mwanachama mzuri Wa dry.Kapime mkuu.
huo ni ugomvi KWA kweli.
mwanachama mzuri Wa dry.Kapime mkuu.
UPO!Wewe unasemaje mkuu!?
Haraka sana nenda kapime afya yake ili uwe na uhakika, kwasababu swala la kumla hilo halina mjadala, utakula tu, sasa ili kuondoa presha ni bora ujue chakula kiko samala. Nakuhakikishia haiwezekani kukaa nyumba moja na msichana ambae si ndugu yako kisha usiku mnafunga milango mwaenda lala kila mmoja na chumba chake, asilani nakwambia labda nyote muwe si wazima.Naishi naye kama msahidizi na sio jirani