Asnt mkuluNilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.
Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)
Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,
Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.
Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.
Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.
Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
Mkuu ulichinja mbuzi?Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.
Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)
Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,
Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.
Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.
Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.
Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
Hekaya za Abunuasi yaani clinic wamekuja kujua kwamba mama ameathirika baada ya miezi 7? What a crap?Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.
Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)
Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,
Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.
Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.
Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.
Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa Umeniacha njia panda apo.
ILA
Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiukizaga juu ya huu ugonjwa na mengine.
Ubarikiwe kwa kuokoa wana jf walahi
soma vizuri mkuu utaelewa baada ya miezi 7 ya kujifungua ndio mimi napewa taarifa hii wakati ambao mama anapaswa amuachishe mtoto kunyonya hivyo kwa hali yoyote angefanya kimya kimya lazima ningehoji kwanini iwe hivi.Hekaya za Abunuasi yaani clinic wamekuja kujua kwamba mama ameathirika baada ya miezi 7? What a crap?
Mkuu hata Mimi imenishangaza huyu kijana ni muongo au kawakaHekaya za Abunuasi yaani clinic wamekuja kujua kwamba mama ameathirika baada ya miezi 7? What a crap?