Ebu mpige picha tuone anavyohaha saiv.
Niliwah kuwa na mahusiano na mdada anayafakaz kwenye hicho chuo, Kila siku nilikua namfata stand na kumpeleka kwake ila nilikua siingii ndani... Kuna siku alinishawishi sana nilale kwake japo nilikubali ila visingizio nilitoa vya kutosha but ikashindikana
Tukaingia ndani zen tukaanza uchokozi wa wapendanao ikafikia hatua mbaya kosa alilolifanya alisema ngoja kwanza akaoge, alivorud mim nikiwa nimelala kitandani akanirukia Kwa furaha mtoto alikua mzuri balaaaaa Ile rangi ya mapaja ilikuwa ni moto.
Mungu alivyowaajabu nilijikuta nimemsukuma ghafla pembeni na kumwambia twende tukapime kwanza( wazo la kupima sikuwa nalo nilijikuta tu nimefanya hivyo bila kufikiria hapo ndo ujue mungu akitaka kukuepusha na kitu fulani hashindwi kitu)
Kwa shingo upande akakubali tutaelekea hospital na dokta akatuambia tuje kesho twende hospital kubwa maana mmoja wetu hayupo vizuri hivyo tukaangalie mnazi mmoja.
Mm nilikua naijua afya yangu na nazijua saikolojia za wanawake namna wanavyoshindwa kuhimili mambo kama hayo, nikamuomba msamaha sana kwamba Kuna sehem nilichepuka inawezekana ndo nimeambukizwa huko, basi naye akanipa pole sana na kushukuru nimemuokoa asijue kwamba ni yeye ndo mwenye tatizo. Kesho yake alinitafuta sana anipeleke hospital ila nikapiga chini coz ningeenda yeye ndo angeonekana ameungua halaf ningepata kazi ya kumtuliza
Tukapotezana
Majuzi namuona amepost tik tok mada za kumeza dawa na hajali kuhusu watu wanamchukuliaje, nikajisemea kimoyo moyo kwamba tayari ameshajijua
Mimi ni mtu wa kusafiri sana na huwa nakaa muda mrefu hivyo nikiwa narudi jambo la kwanza Kwa wife ni kupima mimba na ukimwi japo anahisi namuonea ila Hawa wadudu hawatabiriki Bora kinga kuliko kuombana msamaha na kuharibiana future