NitafikishaNimepata wazo jipya.... Kama wewe unaukimwi na umekata tamaa njoo zako pm kwa speed (Mwezi mtukufu upo mbele hapo,,,, huenda meza ikapinduka ndani ya mwezi mmoja)
Ntakupatia njia salama kabisa.... N muongozo wa kiibada pekee!!! Pia ntakupatia siri ya kuwa karibu na Allah halafu kwenye ule usiku wa lailatul qadr ntakuombea uzima kwa mwenyez Mungu!!!
Trust me unapona kabisa..... Ninahakika na nnachokiongea!!!
Note: Ramadhan yote mm ntajitaahd kujitenga na maaswi kwa kukaa sehem moja siku zote 30 nikifanya ibada na nyirad zangu(watu wa twariqa tunaita chimbo)
If you have a solution then good luck...... Kuliko kukaa na kulia bila sabb kwanini usifate njia yangu (note: dozi utaendelea nazo Kama kawaida ili uwe na amani)
Halafu huduma n free kabisa
Si ndio hapo sasa!! Bichwa la chini limesimama basi anataka kuonyesha umwamba lazima ulale yoooo π€£π€£π€£π€£Mtu humjui unapiga kavkav
Hahaha π€£π€£π€£Si ndio hapo sasa!! Bichwa la chini limesimama basi anataka kuonyesha umwamba lazima ulale yoooo π€£π€£π€£π€£
Shida inaanzia hapo.Ni kweli anamademu wengi
Ulifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam???Mi nasoma mkuu ajira za uhamiaji NILIOMBA kwa Cheti Cha six
Mwanachuo huyoWe jamaa mleta habari, hebu jifunze namna ya kuandika ueleweke vema, unaandika baghalashaghala, panga vizuri sentensi zako zieleweke vema kwa wasomaji
Sas ukimwi ni jambo la kutisha mimi nikajua kakutwa figo zimefeli πUkimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika, aisie analia mpaka basi amekata tamaa. Tuwe makini na wadada wanachukua kwa masponser.
KUKAA kimya ni JIBU la mjingaUlifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam
πππMwanachuo huyo
Great YHC usahili wa uhamiaji umepita??
Na ulifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam??
Siku nyingine ukiwa unataka kuleta thread humu ndani, andika kwa kutulia, cooldown your pressure, hariri andiko lako ili kuondoa sintofahamu.
Nipo chuo mkuu uhamiaji majibu bado
Ulifikaje Chuo kikuu cha Dar es salam???
Mi nasoma mkuu ajira za uhamiaji NILIOMBA kwa Cheti Cha six
Ulifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam???
πππππKUKAA kimya ni JIBU la mjinga
ππππππππ
Fungua PM yako au nicheki.Washkaji wamwembia demu wako anaukimwi
Kwani kupata hiv kuna ujanja au ushamba mkuu? Ngoma anapata yoyote, awe mwaminifu anakutana na asiye mwaminifu...anapata.Nyie si mmekuja mjini kutuonesha nyie ni mafundi wa mapenzi.
Badala mfate kilichowaleta.
Kinachonishangaza huu ukimwi kwa sasa ni kama umepungua makali sio kama ule wa miaks Ile hakukuwa na sababu za kumuambia tayari mngeshakuwa mnauguzaWashkaji wamwembia demu wako anaukimwi
Vyuo vya Dar vyote na UDOM ndio station za kuupatia UKIMWIUDSM