Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
Kwani amri ya usiue ina maneno mangapi ..Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Umeanza lini kusikitikia upotevu wa uhai wewe?Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanao onekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda muwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anaye sematunaishia sema maleria na UTI kali. Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisicho dhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumalisza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.
Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngomaUkimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
ulio wataja una undugu nao, umewahi ona vyeti vyao ikithbitika wana UKIMWI ingekuwa vizuri ungetaja nduguzo wenyw ngwengwe ili tukae nao mbali kama kweli una nia.Usipotaja watu hawaogopi na kuchukua hatua maana wanaona watapata staha. Pia ukitaja ni rahisi watu kukaa mbali na wale walioatajwa na aliyetangulia mbele ya haki. Marehemu Nelson Mandela alioonyesha njia kwa kumtaja mwanawe hadharani.
Hata Mengi alimtaja mwanae,sirisiri nazo huponza.Usipotaja watu hawaogopi na kuchukua hatua maana wanaona watapata staha. Pia ukitaja ni rahisi watu kukaa mbali na wale walioatajwa na aliyetangulia mbele ya haki. Marehemu Nelson Mandela alioonyesha njia kwa kumtaja mwanawe hadharani.
Aiseeee Whozu kweli hajampitia? Maana hawa wasanii wakimchukua Video Queen lazima atambae na Besela.Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
ulio wataja una undugu nao, umewahi ona vyeti vyao ikithbitika wana UKIMWI ingekuwa vizuri ungetaja nduguzo wenyw ngwengwe ili tukae nao mbali kama kweli una nia.
Ajitafakari Achukue HatuaAiseeee Whozu kweli hajampitia? Maana hawa wasanii wakimchukua Video Queen lazima atambae na Besela.
We utakua nao afu istoshe unaexperience ya maumivu ya rohoMimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma
kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni