Inamaana UKIMWI ni zilipendwa?
Ni wakawaida kakini ni mara chache mtu kukwambia anaoSahizi ni ugonjwa Wa kawaida tu ila omba usikupate.
Kukwambia kama anao bado itaendelea kuwa Siri yake na familia yake labda umfumanie anavyochukua dawa.Ni wakawaida kakini ni mara chache mtu kukwambia anao
mkuu huu ugonjwa kiufipi ni fake ni ( mindset disease),watakuambia huyo mama ni carrier yani kuwa kuna watu ambao virusi havina uwezo wa kupunguza kinga zao za mwiliMimi UKIMWI siuelewi kuna mama flani mwaka 1992 nikiwa bado mdogo kabisa sema najitambua alikuwa jirani yetu mumewe alifariki kwa huu ugonjwa akamuacha huyo mama akiwa mjamzito.
Huyo mama akajifungua kwa njia ya operation pale aliposhonwa ilichukua sana muda kupona naye walidhani atakufa maana mtoto aliyemzaa alifariki baada ya miezi kadhaa.
Lakini huyo mama mpaka leo yupo na afya tele watu wanakufa wanamuacha na habari za kuwa ana ngoma zilikwisha sahaulika
Mkuu nimesoma baadhi ya threads humu na kwenye internet na kutazama baadhi ya documentaries ila nilikubari kuwa UKIMWI upo baada ya ndugu yangu kuunasa toka mwaka 2004 akawa anaficha na hatumii dawa kabisa siku afya ilipoanza mchenjia akawa hataki kusema.mkuu huu ugonjwa kiufipi ni fake ni ( mindset disease),watakuambia huyo mama ni carrier yani kuwa kuna watu ambao virusi havina uwezo wa kupunguza kinga zao za mwili
Siyo lazima mumewe kuwa na UKIMWI basi na mke atakuwa na UKIMWI....kuna majibu yanaitwa Discodant Mume HIV positive lakini mwenza wake ni HIV negativeMimi UKIMWI siuelewi kuna mama flani mwaka 1992 nikiwa bado mdogo kabisa sema najitambua alikuwa jirani yetu mumewe alifariki kwa huu ugonjwa akamuacha huyo mama akiwa mjamzito.
Huyo mama akajifungua kwa njia ya operation pale aliposhonwa ilichukua sana muda kupona naye walidhani atakufa maana mtoto aliyemzaa alifariki baada ya miezi kadhaa.
Lakini huyo mama mpaka leo yupo na afya tele watu wanakufa wanamuacha na habari za kuwa ana ngoma zilikwisha sahaulika
Hilo nalijua na case kama hiyo imetokea two weeks ago mume anao mke hana.Siyo lazima mumewe kuwa na UKIMWI basi na mke atakuwa na UKIMWI....kuna majibu yanaitwa Discodant Mume HIV positive lakini mwenza wake ni HIV negative
Kama watu walisema hata leo kuna watu huwa wanasema lakini taarifa zao siyo sahihi.Nilitegemea usema ulimsikia mama mwenyewe anasema.Hilo nalijua na case kama hiyo imetokea two weeks ago mume anao mke hana.
Lakini kwa huyu mama miaka hiyo walisema anao na aliugua sana sana ikafika muda wakawa wanasema leo haifiki asubuhi ameondoka ila akapona mpaka leo she is well and good haumwi ana afya tele
Nilikuwa bado mdogo kipindi hicho. Siwezi kusema moja kwa moja alikuwa 100% alikuwa anao ila mazingira kidonda cha operation kilichukua muda sana kupona hadi alianza toa harufu ya uvundo, mtoto aliyejifungua alifariki pia alikonda nadhani unakumbuka vizuri kipindi kile UKIMWI ulikuwa unaua kwa kukukondesha kule kwetu Kagera walikuwa wanauita Silimu kutokana na neno la Kingereza Slim lenye maana ya kupungua unene au kukonda.Kama watu walisema hata leo kuna watu huwa wanasema lakini taarifa zao siyo sahihi.Nilitegemea usema ulimsikia mama mwenyewe anasema.
Hayo yote yanaweza kukutokea na bado mtu akawa HIV negative.Nakumbuka sana kipindi kile kuhusu UKIMWI na wengi walikuwa wanapungua sana uzito na kukonda sana na hali ilikuwa inatisha sana.Mfano ulikuwa ukiingia wodi ya Mwaisela Muhimbili ilikuwa hali inatisha sana. Tofauti sana na siku hizi.Nilikuwa bado mdogo kipindi hicho. Siwezi kusema moja kwa moja alikuwa 100% alikuwa anao ila mazingira kidonda cha operation kilichukua muda sana kupona hadi alianza toa harufu ya uvundo, mtoto aliyejifungua alifariki pia alikonda nadhani unakumbuka vizuri kipindi kile UKIMWI ulikuwa unaua kwa kukukondesha kule kwetu Kagera walikuwa wanauita Silimu kutokana na neno la Kingereza Slim lenye maana ya kupungua unene au kukonda.
Ngoma zamani ilikuwa inatisha sana yani mtu anakonda akiwa kindani kajifunika unaona palo flat unaweza kuhisi hakuna mtu.Siyo lazima mumewe kuwa na UKIMWI basi na mke atakuwa na UKIMWI....kuna majibu yanaitwa Discodant Mume HIV positive lakini mwenza wake ni HIV negative