Dunia sasa ni KIJIJI Mkuu (Glob Village)
Unapojadiliana katika maswala kama haya, unaangalia DUNIA na si BARA au NCHI.
Nategemea una akili na uwezo wa kuangalia haya katika 3D na siyo 2D (Nchi au BARA).
Siyo lazima ukubaliane na mimi. Pia usifikiri nikifiwa leo na mtu nitachekelea au mie mwenyewe wakiniambia nitakufa hivi karibuni basi nitafurahia. Ndiyo maana nikasema "
NI UKWELI UNAOUMA."
Zamani kulikuwa na magonjwa yaliyouwa Mamilioni ya watu. Kulikuwa na watu kama Hitler na Stalin waliouwa Mamilioni ya watu. Sasa hivi hakuna vita na magonjwa yametibiwa mengi. Sasa lazima yaje madudu kama AIDS na mengine mengi ili TUFE. Huko India ona kumezuka ugonjwa wa watu KUKATAA watoto wa Kike na sasa matokeo yake unakuta karibu kijiji kizima kimejaa mitoto ya kiume. Umeanza USHOGA wa nguvu na idadi ya watu inaanza kushuka.
Nchi za CHINA na INDIA kwa sasa kumezuka hiki kizazi cha Dot Com na unakuta hawataki shida watoto wa kike. Hata hapa Tanzania imeanza kuwa kawaida na haswa kwa akina dada wanaofanya kazi kama Bank, TRA nk wana hela nzuri, wanajenga mahekalu yao pembezoni mwa miji, wanaendesha magari mazuri ila wanafanya kazi karibu siku nzima. Hawana muda wa MUME na WATOTO ndiyo wala usiwaambie. Hawana muda hata na ndugu zao yaani wanaishi maisha yao na mara moja moja ndiyo wanakumbuka ndugu na wazazi. Hawapiki nyumbani wala kufanya nini maana kila kitu ni MJINI.
Hao nao watapunguza sana idadi ya watu duniani. Hapo sasa angalia USHOGA unavyoongezeka. Usifikiri hao mataifa makubwa hawalioni hili la watu kuongezeka. Ila amini nakuambia, ikitokea siku moja watu wengi sana wamekufa, hata nchi kama UK wakikuona wewe SHOGA, watakuchoma moto maana watataka IDADI ya watu iongezeke.
UONGOZI WA NCHI NI KAZI Mkuu.
mkuu sikubaliani na wewe hata chembe,kama tumezidi na kama una imani kuwa watu wanatakiwa kupungua basi nakushauri anza wewe
kuongezeka kwa idadi ya watu got nothing to do with HIV AIDS,angalia wachina wako wangapi??wahindi??kwa nini tuone kama HIV inaweza punguza idadi ya watu while ugojwa upo kwa wingi Africa?
kama ni idadi wachina wapungue kwa sabbu hata ukijumlisha africa yote haifikii china