Evans Martin
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 156
- 36
hivi ni kweli ukimwi umeisha nguvu, au ndo umeshazoeleka..???

We unaonaje?
Usiombe unautaka? Mkuu bado upo tena saaana
Ukitaka kuthibitisha nenda muhimbili kitengo cha wazazi wajawazito,nurse akipima hakikuta haujaumia anashangaa.
hivi ni kweli ukimwi umeisha nguvu, au ndo umeshazoeleka..???
Nadhani makali yamepungua
Ukitaka kuthibitisha nenda muhimbili kitengo cha wazazi wajawazito,nurse akipima hakikuta haujaumia anashangaa.
Acha kudanganya uma wa watanzania...
Ukimwi upotee kabsaa.