Ukimwaga mboga

Tairus

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
676
1,055
Tunamwaga ugali alafu...

Malizieni wadau

Kuna watu ukiwaletea shari yaan hawakiachi ivi ivi..mpaka kieleweke yaan ata ikibidi kuondoa iyo marinda,kuvunja undugu,kuua Nk..

Limekaaje hili swala kwako..#Funguka kwa msaada wa wote humu.
IMG-20181118-WA0011.jpeg
 
Back
Top Bottom