Ukimuita mwanamke my love maana yake...

i will be calling her by her name!....

though she always calls me HNY

juzi mama mkwe ananiuliza kwanini namuita mr kwa jina lake japo nimuite baba fulani...haa ctaweza, yeye aendelee kuniita hivyo hvyo mumy lakini mie namtwanga kwa jina lake orijino.
 
..halafu hii ni nzuri sana!haina chembe chembe zozote za ku-PRETEND
 
heri na kwako pia dia!!! we na Nyamayao vekesheni ilikuwa ndefu duh!!! misd u gurlz.....

sas MJ1 tusojua kibluray hayo tunaona yasound poa tu...!!

baby gal, bado nakula bata ukweni, c unajua tena kuna tyme wanatufanya ma queen, wakicharuka tunacharuka nao tu....misd u sooo much baby.
 
hahaaa duh we kiboko ndo mana nakukosa sana hapa, bt its all gud!!! jilie vitamu gurlie siku wakikuchenjia angalau unalo la kusimulia!!!!

sasa mama mkwe anakuita majina gani mwenzetu huko!!!
 
ni mchaga.... ananiita kinyumbani.."mpora"
 
......Actually ndio sababu kubwa sana inayowafanya wanaume /wanawake wengi waingie MBA, MAANA huko wanakutana na vijineno vya uchokozi vya mapenzi vitaamu walivyovisahau zamaaaani!......

Duhhh! kwahiyo mpwa wataka kuniambia wanaokwenda kuchukua MBA ni stress za ndoa zimewatinga na wamemis maneno kama hayo asali wa moyo, Laa azizi kutoka kwa wapenzi wao au? Kwa Hapo A town kama sijakosea MBA ni Inatolewa ISAMI . hapo itakuwa masomo au ISAMI MAPENZI CLASS?

hahaa Married But Available!!!! sisomi hiyo kozi duh!!!!
 
Duhhh! kwahiyo mpwa wataka kuniambia wanaokwenda kuchukua MBA ni stress za ndoa zimewatinga na wamemis maneno kama hayo asali wa moyo, Laa azizi kutoka kwa wapenzi wao au? Kwa Hapo A town kama sijakosea MBA ni Inatolewa ISAMI . hapo itakuwa masomo au ISAMI MAPENZI CLASS?
Tangu mwaka huu uanze nilikuwa sijacheka namna hii. Jethro aksante mpenzi kwa kunifungulia mwaka.

MBA ya ISAMI ni tofauti na ya JF ya ESAMI ni Master of Bussiness Administration (MBA) na ya JF ni Married But Available (MBA) sweetheart! lol nami nimekuita vijijina usije tu akaomba usajili wa MBA kwa watu lol

Sasa paka na siye tulioolewa but tunatafuta serengeti nasi twamiss hivyo vijina au ni for men only?
 
Ni kweli MBA inapatikana ESAMI kwa hapa Arusha, lakini nikupe siri kwamba familia nyingi pia zinatoa huduma ya MBA kwa siri, tena kwenye vichochoro na majumba ya sterehe!

Yenyewe haina ku'grajueti, ni hapo mwenyewe utakapoona mfuko wako hauruhusu, then utajikata kimyakimya!lol!
 
eeh!:rolleyes:
 
Senkuy PKJ, Ila nkuulize kama yenyewe ahaina ka 'grajueti si ndio bara na nanivyo hufahamu huo mji kwa usiki na kwa vijana kuenda wak.... za watu na za IAA na VIA VIA au kule ukivuka colubas kunaitwaje MASAI ni ni vile, na hao wazungu wa volunteer si ndi baaraaa nayo.

T
Sasa paka na siye tulioolewa but tunatafuta serengeti nasi twamiss hivyo vijina au ni for men only?
Yes...ni kitu hichohicho mnatafuta...mapenzi ya tofauti, yaani ile inaitwa TLC(Tender Love Care)!

Si unajua jinsi Serengeti wanavyojua hadi ku'copy and paste mashairi ya mapenzi kwenye mtandao , na anakwenda kumwimbia mkeo huko sijui gesti gani..!...Mkeo dakika anakuona mumewe huna nyimbo!
 
Duhhh! kwahiyo mpwa wataka kuniambia wanaokwenda kuchukua MBA ni stress za ndoa zimewatinga na wamemis maneno kama hayo asali wa moyo, Laa azizi kutoka kwa wapenzi wao au? Kwa Hapo A town kama sijakosea MBA ni Inatolewa ISAMI . hapo itakuwa masomo au ISAMI MAPENZI CLASS?

tafadhali sio isami ni esami (Eastern and Southern Africa Management Institute)
 
mimi wakwangu huwa namwita kwa jina lake ila yeye hupenda kuniita sijui dad daddy sasa sijui huwa anamaanisha nini hapa ukisikia siku kaniita kwa jina langu basi siku hiyo lazima nimsikilize kwa mamkini sana maana najua anachokisema heee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom