Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,098
Umesema kweli gudume raha ya game ni mivunjo ya mifupa walau Mara moja kwa wiki unatoa dozi ya adabu km hiyo yaani ngoma ipigwe mpk ikauke kaukau

Umesema kweli gudume raha ya game ni mivunjo ya mifupa walau Mara moja kwa wiki unatoa dozi ya adabu km hiyo yaani ngoma ipigwe mpk ikauke kaukau

Mkuu saluteemmyta ndo ninachomaanisha hicho kuwa mke apewe raha. apewe tena, apewe tena..mpaka avimbiwe raha..aseme GUDUME UTANIUA KWA RAHA MWENZIO au in english "GUDUME YOU WILL KILL ME WITH PLEASURE MY LOVE"
Hahaaaa. Basi sawa mkuu.HUMKOMOI...unapomkomoa haiwi raha...ila unampa raha mpaka anasema basi inatosha baba.
Thread zako hua zinanisahaulisha tatizo langu la ajira![]()
![]()
Nikioa nitafanya hivyo![]()
wewe jamaa muhuni wewe
Haya mambo pia tunaruhusiwa kuwafanyia GF zetu ambao hatujaoa au ni special kwa ndoa ili kulinda heshima ya ndoa? ndugu yangu maisha haya mafupi sana ..ukiwa sana serious mtu unaweza kufa ghafla.halafu utakonda bure...we jiachie tu ajira utapata ndugu yangu. hilo lisikuumize sana kichwa.endelea kuomba na kuomba ipo kazi yako sehemu flan.it will be yours. mi nilishaamua ku relax inchi yeu ndo hii hii miaka nenda rudi.wacha si tujilie tu raha..tunaweka shida chini tunanyosha mikono juu tuna bandua tu....







![]()
Haya mambo pia tunaruhusiwa kuwafanyia GF zetu ambao hatujaoa au ni special kwa ndoa ili kulinda heshima ya ndoa?
anzia hapo hapo.. maana waswahili wanasema "CHELEWA CHELEWA UTAMKUTA MWANA SI WAKO " hata usipokuja kumwoa atakuwa anakukumbuka tu kuwa kwa hakuna matata kuna matata yake lakini.... hata akiwa peke yake anatabasamu anatikisa kichwa .... anakuombea maisha mema huko uliko.



kweli dunia ina mambo!!!!!Na me ndo nawaza hapaHa ha ha kwani kumpa mimba mwanamme pia kunahitaji nguvu/ufundi mkuu
labda itakua ni kwa wiki mara moja tu so huwa anafidiaMimba kama ya kuingia inaingia tu sio mpaka kuhenyeshana kiasi hicho.
Mapenzi raha jamaani Gudume sababu kwa jinsi unavyoelezea kama ukimchapa leo ndio mwisho. Khaaa.
mmh! ni imani au fact mkuu?ukitaka kupata mtoto unayefanana naye, sharp,clever etc inabidi uweke maufundi ndugu yangu
Hahahaaaaaaaa akili zako ni za kuvukia barabarani tuhahah,, basi mkuu next time tutapiga show kabambe nguvu zimuishie zibaki za kusukuma nnya maliwatoni baas... 😛
Kama hivyo ni sawa kabisa ila ile ya wote mmetoka kazini mauchovu kibao sidhani kama shoo kama hizo zinawezekanika aisee.labda itakua ni kwa wiki mara moja tu so huwa anafidia